Makongoro Nyerere anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

Jan 27, 2015
50
70
Kwako M/Kiti Taifa,
Salaaam,

Mimi kama mwanachama hai wa CCM na mtiifu kwa chama changu, naomba kutoa pendekezo la kumteua Bwana Charles Makongoro Nyerere kuwa katibu mkuu wa chama chetu, naamini ktk weledi wake na uwezo wa kujenga hoja za kisiasa hususani uwezo wa kujibu na kuhimili hoja za washindani wetu a.k.a wapinzani na pia anaufahamu vizuri upinzani.

Pia Makongoro ni mwadilifu sana ukimweka kwenye kundi la waadilifu. Nachelea kusema kwamba atafanya kazi nzuri sana kwa fikra zangu maana najaribu kuanagalia mtu sahihi wa kuvaa viatu vya Baba yetu Kinana sioni naona watu waliojaa upambe,unafiki,uchu wa madaraka,uzandiki,wanaojipendekeza na wachumia tumbo kitu ambacho hukipenda wewe Mzee Magufuli.

Binafsi sitoagi uzi wa kijanga kwenye hii platform ila kwa kitu maalum, rejea Uzi zangu za nyuma.

CCM Daima!!!!
Nawasilisha.
 
Dah, aisee hv unafahamu ni Mawaziri wangapi walevi lakini wanafanya kazi nzuri chini ya Rais wetu JPM. Kuwa na staha kidogo....Nenda kenya kamshudie Rais wao Uhuru anavyolewa na Nchi anaiongozaje.
 
makongoro yuko vizuri kwa propaganda na porojo anafaa kumrithi A.Kinana.

ccm msimpe ukatibu atatusumbua UKAWA umaarufu wa babaake utambeba.

2020 tunataka tumng'oe magufuli kiulaini.
 
Chama cha Manunuzi.........wamnunue mlevi haina shida....maana nao wamelewa madaraka
 
Huyo jamaa hata marehemu baba yake aliwaambiaga Arusha anawasikitikia kwa kuchagua Mbunge Kichaa!
 
Back
Top Bottom