Kiongozi mzuri ni yule ayehakikisha wateuzi wake wanajiamini na hawayumbishwi

Jan 27, 2015
50
70
Wasalaaam,
Ukiwa kiongozi ni sharti unapomteuwa mtu wakukusaidia mahala fulani ni lazima umpe mandate na uwezo wa kujiamini mahala pa teuzi yake. Na siyo unamwacha huku akiogopa aliowakuta na wanaomsakama kwa maslahi yao binafsi.

Nimepata funzo nzuri sana kwa serikali hii ya awamu ya tano, jinsi mteuzi mkuu Dr.John Pombe Magufuli anavyoteu na kumjaza mtu full confidence huku akimpatia vipaumbele na mwongozo na dira yake.

Mfano mzuri ni akina PCM aka DAB........najua kwa hiyo DAB wengine watafurahi maana ndiyo wanataka wasikie hivo, MD Tanesco, Dr.Mwakyembe, Prof.Mbarawa,Gambo n.k.
Hii kwa nchi inaleta uwajibikaji mkubwa sana hususani system nzima ya serikali.

Asante sana kiongozi wetu......Maana uliwauliza watanzania nanukuu...Hivi kweli mnataka kunipa urais niwe Rais wenu kweli? Nitawatumikia.

Kweli Mh.Dr.Magufuli anastahili more than two terms.
Leo.
 
Yeah kweli bro
Patia picha kila raisi angekuwa kama magu tangu enzi hizo
Hakika tungekuwa mbali sana na pia mikataba mibovu ya madini isingekuwepo sahv
 
Back
Top Bottom