LEO OJIJO MESSI
Member
- Jan 27, 2015
- 50
- 70
Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Kwani ukienda kwa TB Joshua ndio umeokoka?!!........Wengi wanaenda Nigeria kuchukua dawa za " mvuto" waweze kukubalika na watawala!Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Hahahaaaa kumbe, teuzi za Ma DCwazi zinakaribia nn?Ameenda kuosha nyota,atubu nini sasa kweni amekuwa god father?!!
Muro anakubalika.Hahahaaaa kumbe, teuzi za Ma DCwazi zinakaribia nn?
Acha upuuzi dogo, jiwe anahudhuria kila ibada lkn toba hataki, iwe Muro msaka tonge?Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Naona unaanza kufunguka macho ewe kipofu wa lumumbaKwani ukienda kwa TB Joshua ndio umeokoka?!!........Wengi wanaenda Nigeria kuchukua dawa za " mvuto" waweze kukubalika na watawala!
Shoga hiloLeo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.
Kwani hapo Ufipa hakuna wanaomtembelea TB Joshua?!Naona unaanza kufunguka macho ewe kipofu wa lumumba
Naona ujinga unakurudia. Mimi nilikupongeza kwa majibu mazuri.Kwani hapo Ufipa hakuna wanaomtembelea TB Joshua?!
HahahahahaaAcha upuuzi dogo, jiwe anahudhuria kila ibada lkn toba hataki, iwe Muro msaka tonge?
Nimekujibu kwa kadiri ya ujinga wako!Naona ujinga unakurudia. Mimi nilikupongeza kwa majibu mazuri.
Mimi sio mfipa
Tunamtaka amrudishe Ben saa naneKwani hapo Ufipa hakuna wanaomtembelea TB Joshua?!
Weee bwege unafikiri kwenda kwa T.B Joshua ndio kuokoka..!?Leo 1/04/2018 Jerry Muro ameudhuria mambi Nigeria kwa Tb Joshua. Ktk kanisa la SCOAN dah, wacha na mm niache kutukana wapinzani wa Rais nimurudie Mungu wangu.