LEO OJIJO MESSI
Member
- Jan 27, 2015
- 50
- 70
Salaaam wanajamvi!
Mimi kama ilivyo ada thread zangu ni chache lakini inalenga mule mule......
Ni muda sasa maswala ya uchakachwaji mafuta na ukwepaji kodi limekithiri hapa nchini na kuletea uharibifu wa magari na uchumi kuumia.
Hivo basi kumaliza tatizo ili Mh.Rais amrisha waziri wa fedha awape owners wote wa makampuni haya muda wa kuingia kwenye Dar es salaam stock exchange ili ku- enhence transparency kwenye ulipaji kodi, na uboreshaji mafuta ya magari.
Asante.