Recent content by lemone grass

  1. lemone grass

    Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

    Mimi kati ya vyote, kujichubua aisee.. Hii kitu huwa naichukia kuliko neno lenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. lemone grass

    Current Situation In Rwanda!

    Nimeona, aisee.. Wahutu tupu ndani.. Dah! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. lemone grass

    Current Situation In Rwanda!

    Nikifikilia uzi wa Bossless, na hii clip! Huwezi kuuliza "mgonjwa anaendeleaje" wakati unaona watu wanashona sanda. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lemone grass

    Waliohamia CCM wote kutoswa uchaguzi mkuu 2020

    Sidhani kama unanizidi mimi, sitaki hata kusikia. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. lemone grass

    Tafiti juu ya nyama ya kunguru

    Nimejaribu kupitia Google, nyama ya kunguru haina shida, ina radha kama ya kuku (kuku wenye nyama nyeusi) kwa maana kunguru ana nyama nyeusi pia, haliwi na watu wengi kwa kuwa anakula mizoga. Ila hana shida kabisa..
  6. lemone grass

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Hoja ya Alexander the Great ina point kubwa pia. Niliwahi kuona hili NatGeo, hao nyigu hawafai hata kidogo, wanaua nyuki mzinga mzima ndani ya dakika chache. Hoja yako nayo ina mashiko ya nguvu, hizi dawa za mashambani ni hatari kuliko maelezo kwa kuangamiza nyuki.
  7. lemone grass

    Filamu na maigizo ya Hollywood yanaiharibu dunia

    Huo ndo ukweli, japo wengi watapinga.. Mwanzoni nilikua mpenzi sana wa Game of Throne, ila sasa... Ni kampeni za wazi kabisa bila hata kutumia akili kubwa kutambua. Kwa wale walio onja shule ya saikolojia japo kidogo wataelewa ni namna gani akili inavyoweza kubadilishwa, kuaminishwa na hatimaye...
  8. lemone grass

    Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Swali zuri sana, ambaye amefuga akafanikiwa anajua mziki wake mpaka kufanikiwa. Kuna kipindi lazima machozi yakutoke, pale wanapoanza kustawi ndipo kilio hutokea. Ufugaji wa kuku ni shule, lazima ujue aeiou kwanza..
  9. lemone grass

    Msaada kwa wale ambao Mungu amewapa kitu ndani yenu

    Binafsi nikiri kuwa, mwanzo nilikua RC, ila sikua muumini mzuri. Kila nikiingia kusali na kuziona zile sanamu, nilikua nafadhaika moyoni na kujuta kwanini nimengia! Zile sanamu zilikua zinanifanya niache kusali kwa miezi kadhaa. Pia sikupenda makanisa ya kilokole toka moyoni, hivyo nilianza...
  10. lemone grass

    MALEZI: Mzazi, Usimpe mtaji mwanao!

    Naamini anatania tu..
  11. lemone grass

    Mzee wa Miaka 181 Aangua Kilio Akisema "Kifo Kimemsahau"

    Nimejaribu kuingia Google, hakuna rekodi halisi kuwa ana umri huo.. Maana hakuna hospitali yenye rekodi ya kuzaliwa kwake.. Bado ni Kitendawili.
  12. lemone grass

    Kwa wanaume tu: Ogopa sana mkia wa kenge!

    Umeona eh! Tutafanyaje ndugu, maana moja haikai mbili haisimami.
  13. lemone grass

    Kwa wanaume tu: Ogopa sana mkia wa kenge!

    Hahahaa... Basi hukula mkia, binafsi lazima nimle.
  14. lemone grass

    Kwa wanaume tu: Ogopa sana mkia wa kenge!

    [emoji16][emoji16][emoji16], ukichangia na upepo wa...,! Muda unayoyoma tu..
  15. lemone grass

    Kwa wanaume tu: Ogopa sana mkia wa kenge!

    Hata huyu panzi, wapo waliokua/wanao amini anarukia watu ndani ya mianzi ya pua..
Back
Top Bottom