Mzee wa Miaka 181 Aangua Kilio Akisema "Kifo Kimemsahau"

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,822
Reaction score
8,173
Mahashta Mûrasi raia wa India aliyezaliwa mwaka 1835 sio tu kwamba ndiye mtu mzee zaidi duniani, lakini pia ndiye mtu aliyeishi miaka mingi zaidi kuliko binadamu yeyote hapa duniani (hii ni kwa mujibu wa rekodi za kidunia za kutoka vitabu vya Guinness). Kulingana na taarifa zinazomhusu Mûrasi alizaliwa huko Bangalore, India January 6, 1835 na kukulia huko ambapo Desemba 1903, alihamia Varanasi, ambako alifanya kazi hadi mwaka alipoamua kustaafu akiwa na umri wa miaka 122.

Hivi karibuni aliangua kilio akisema, “Wajukuu zangu wamekufa miaka michache iliyopita.” “Lakini kwa upande wangu naona kifo kimenisahau. Na kwa sasa nimepoteza matumaini ya kufa (yaani anahisi kama hatakufa, ataendelea kuishi milele).” Alisema Mûrasi.

Ripoti ya World News Daily, inaonesha kuwa Mûrasi alizaliwa enzi hizo kwa hiyo tarifa za umri wa miaka yake ni za kweli.
 
Duh! Yaani Mzee kazaliwa kabla ya Mkutano wa Berlin! Nazikumbuka picha za Karl Peters, dizaini kama alikuwa bado kijana fulani hivi wakati yupo "Bongo" na ndio maana aliweza kuchanja mbuga! Kwahiyo inaelekea Babu kazaliwa hata kabla Karl Peters hajazaliwa!

Sema hao World Daily hawaaminiki... ni wazushi na uzuri na wenyewe huwa wanasema kwamba wao ni wazushi; na kwahiyo wanazushi kwa ajili ya kufurahisha genge tu!
 
Mahashta Mûrasi raia wa India aliyezaliwa mwaka 1835 sio tu kwamba ndiye mtu mzee zaidi duniani, lakini pia ndiye mtu aliyeishi miaka mingi zaidi kuliko binadamu yeyote hapa duniani (hii ni kwa mujibu wa rekodi za kidunia za kutoka vitabu vya Guinness). Kulingana na taarifa zinazomhusu Mûrasi alizaliwa huko Bangalore, India January 6, 1835 na kukulia huko ambapo Desemba 1903, alihamia Varanasi, ambako alifanya kazi hadi mwaka alipoamua kustaafu akiwa na umri wa miaka 122.

Hivi karibuni aliangua kilio akisema, “Wajukuu zangu wamekufa miaka michache iliyopita.” “Lakini kwa upande wangu naona kifo kimenisahau. Na kwa sasa nimepoteza matumaini ya kufa (yaani anahisi kama hatakufa, ataendelea kuishi milele).” Alisema Mûrasi.

Ripoti ya World News Daily, inaonesha kuwa Mûrasi alizaliwa enzi hizo kwa hiyo tarifa za umri wa miaka yake ni za kweli.
dah nikifika umri huo akati nimetafuna sana totoz
 
Back
Top Bottom