Tafiti juu ya nyama ya kunguru

Tafiti juu ya nyama ya kunguru

Yaani huyu ndege ni hatari...kanimalizia vifaranga wangu wote was Bata(40)
 
Yaani huyu ndege ni hatari...kanimalizia vifaranga wangu wote was Bata(40)
na anawaua kwa mateso si kawaida,maana anawabeba na limdomo lake kama mkasi wa fundi cherehani.

kali kuliko huyu ni miongoni mwa viumbe wachache amabo kupiga miaka 100 na ushee ni kitu cha kawaida tu.
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Au uliza wale wanaosafiri kwa mabasi na wakifika njiani hupewa dakika tano tu za kwenda kununua chakula...

Wanakutana na nyama zimefungwa kwenye take away, unalipa na kupewa faster...



Cc: mahondaw
 
Mbona mnazini kitu ambacho ni haramu?mnaroga,mnaua,mnasengenya,wanafiki,waongo n.k? Agano jipya limekuja kuona ni unafiki kuhangaika na nguruwe wakati kuna watendaji dhambi kama hizo na wafiraji pia.ila hawali nguruwe.

Kula tu mbona nguruwe ni haramu mnakula ,

Na mnatumia aya za biblia kupotosha kuwa mmeruhusiwa kula kila mnyama na ndege
 
Hahaaa
Ungetangaza tuu ulaji wa nyama ya kunguru ni suluhisho la wenye tatizo la nguvu za kiume. Mbona hao kunguru wangepotea hadi wengine wangetunzwa kwenye jumba la makumbusho
 
Mbona mnazini kitu ambacho ni haramu?mnaroga,mnaua,mnasengenya,wanafiki,waongo n.k? Agano jipya limekuja kuona ni unafiki kuhangaika na nguruwe wakati kuna watendaji dhambi kama hizo na wafiraji pia.ila hawali nguruwe.
Wapi umeambiwa hizo sio dhambi, ? Zote ni dhambi ,mla nguruwe na muongo wote jehanum kwa mujibu wa biblia

Au mwenzetu unabagua dhambi?

Biblia imesema ,uongo, uzinzi, kula nguruwe ni dhambi ,wewe unabagua baadhi

Agano gan hilo limeruhusu mle nguruwe ,sema huelewi maandiko ya mtume paulo


MAANDIKO YA MTUME PAULO WENGI WANAYAPOTOSHA ,NA NDIO SABABU YA WATU KULA KILA UCHAFU ,NA KILA MTU KUFUNGUA KANISA

MAKANISA MENGI UYAONAYO NI SABABU YA KUTOKUJUA AU KUYAPOTOSHA MAANDIKO YA MTUME PAULO


PETRO MTUME HATA YEYE YALIMCHANGANYA SANA AKATOA ONYO HILI

2 PETRO 3

15 Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;

16 vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
 
Imeandikwa aya gani iweke hapa nikaisome
Isaya 65

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,

2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;

3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;

4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;

5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.

6 Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;

WALAWI 11

5 Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
6 Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu

14 na mwewe, na kozi kwa aina zake,
15 na kila kunguru kwa aina zake;
 
unaona sasa unajitungia na mengine.

mende,kunguru katajwa wapi?
Omba mod wakubadilishie hilo jina

Umeridhalilisha sana ,

WALAWI 11

14 na mwewe, na kozi kwa aina zake,
15 na kila kunguru kwa aina zake;

20 Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
21 Pamoja na hayo, hivi vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne ni halali kula, hao walio na miguu mirefu, ya kurukia juu ya nchi;
22 katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
23 Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu.
 
Kunguru hana shida yenye shida ni nyongo yake ikipasukia kwenye mzoga wake wadudu wengine hawamli kwasababu nyongo yake ni kali ilitengenezwa mahususi kwaajili yakulainisha vyakula vigumu.
 
Omba mod wakubadilishie hilo jina

Umeridhalilisha sana ,

WALAWI 11

14 na mwewe, na kozi kwa aina zake,
15 na kila kunguru kwa aina zake;

20 Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
21 Pamoja na hayo, hivi vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne ni halali kula, hao walio na miguu mirefu, ya kurukia juu ya nchi;
22 katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
23 Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu.
mende anatua wapi kwenye hili bandiko.
 
mende anatua wapi kwenye hili bandiko.


Walawi11

23 Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu

Torati 14

19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale.

download%20(3).jpeg
 
huyu hana miguu minne bana.
Nisaidie ana miguu mingapi,
Nitakuletea andiko tu alilokatazwa ,

Maana nakumbuka ni 4 au 6

Bas kama ana miguu 6(3 pair)

Anaingia

KUM. 14:19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi msiwale
 
Nisaidie ana miguu mingapi,
Nitakuletea andiko tu alilokatazwa ,

Maana nakumbuka ni 4 au 6

Bas kama ana miguu 6(3 pair)

Anaingia

KUM. 14:19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi msiwale
kumbi kumbi pia huli.
 
Nimejaribu kupitia Google, nyama ya kunguru haina shida, ina radha kama ya kuku (kuku wenye nyama nyeusi) kwa maana kunguru ana nyama nyeusi pia, haliwi na watu wengi kwa kuwa anakula mizoga. Ila hana shida kabisa..
 
Back
Top Bottom