MALEZI: Mzazi, Usimpe mtaji mwanao!

MALEZI: Mzazi, Usimpe mtaji mwanao!

Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anakuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe. Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie,aanze biashara wewe anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu. Wazee wengi tunakwama hapa.
Co kweli mkuu mm bnafsi mzee wng alinipa mtaji kdogo (Mkopo) kwa ajili ya biashara namshukuru mungu mpaka mda huu naandika hapa pesa yake nmemrudishia sasa hv napambana na hali yng
 
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu. Wazee wengi tunakwama hapa.
Naam!... Nakubaliana nawe kwa %100!.
 
Na huu ndiyo ukweli kama mwanao anapokuomba mtaji afanye sijui biashara usimpe.

Muulize tu nikikutafutia msichana utaoa? Atajibu hapana, mke nitatafuta mwenyewe. Basi mwambie na mtaji ajitafutie, aanze biashara yeye anayoiweza, utamuongezea tu. Siyo unamuanzishia mradi huo lazima utakufa tu. Wazee wengi tunakwama hapa.
Kuna jambo/ujumbe muhimu sana hapa, ila kwa jinsi ulivyowasilisha wengi hatutakuelewa
 
Familia masikini utaijua tu, lakini inayojiweza iliyowekeza vizazi na vizazi haiogopi kutoa mtaji maana inajua kuteleza si kuanguka, bali kunyanyuka na kujaribu tena na tena ndiyo mtaji mkubwa.
anamaanisha bakhresa(azam) asiwape watoto wake mitaji
 
Mtoto kabla hujampata
Alichoongea kina mantik, japo mnakikataa bila hoja za msingi

Mtaji wa kujitafutia mwenyew unakua na uchungu nao sana kuliko na mtaji wa kupewa. Siunajua kesho utapewa tena ata ukikata.
Mtoto kabla hujampa mtaji mjengee uwezo na uzoefu wa biashara unayotaka aifanye wakati huo bado akiwa mikononi mwako alafu ukiona na ukampima anao uwezo wa kujiendesha mpatie mtaji aendelee, naunga mkono hoja ya mtoa mada kwani alimanisha hivi
 
Alikuwa sahihi kabisa kukupa mkopo badala ya kukupa bule mtaji ndiyo maana ulikuwa na uchungu nao
Co kweli mkuu mm bnafsi mzee wng alinipa mtaji kdogo (Mkopo) kwa ajili ya biashara namshukuru mungu mpaka mda huu naandika hapa pesa yake nmemrudishia sasa hv napambana na hali yng
 
rostam aziz babu zake wameanza biashara kule tabora tangu 1850
Kwa mentality design hizi ndio maana familia chache sana za kiafrika zimefanikiwa kuvusha mali toka kizazi kimoja hadi kingine nyingi zinaishia babu au baba kisha mali zinapotea.
 
Mtoto kabla hujampata Mtoto kabla hujampa mtaji mjengee uwezo na uzoefu wa biashara unayotaka aifanye wakati huo bado akiwa mikononi mwako alafu ukiona na ukampima anao uwezo wa kujiendesha mpatie mtaji aendelee, naunga mkono hoja ya mtoa mada kwani alimanisha hivi
Unauelewa mzuri mkuu![emoji122][emoji122][emoji122],hata mke naweza kumsaidia mahari nk,lakini kutongoza mpaka pete ni jukumu lake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom