Recent content by Leliro

  1. L

    Bunge la Katiba litakavyokausha pesa za Watanzania

    Mpaka sasa sijaamini, ni kweli au naota? hawa watu wamekosa uhalali wa kutawala,je miongozo ya overtime ya Bunge inasemaje kwa wale wanaojua?
  2. L

    Illuminati or Perfectibilists in Tanzania

    Nimepend sana argument yako, ila ungefafaua kidogo hapo juu kwenye bandiko lako, je kama wanakuwa wema kwa watu wanapitisha nini chao tena ambacho bila kuwasogelea wanaopewa msaada hawawezi kufanya?
  3. L

    Mwalimu Nyerere, sensa na udini

    Pamoja na kwamba umetoka nje kidogo ya mada ya udini na kuingia kwenye huduma za jamii ni vizuri ukafahamu kuwa Nyerere hakuwa 100% mkamilifu. Alifanya kazi na watu wenye mawazo kama haya walionayo washauri wa Rais wetu. Ikumbukwe kuwa hakuna kipindi kabla na baada ya utawala wa mwalimu Nyerere...
  4. L

    Mwalimu Nyerere, sensa na udini

    Mtu ukiwa na upendeleo huwezi kutoa hukumu ya haki. Waliokuwepo wakati wa utawala wa Nyerere wanaweza kukushuhudia kuwa wakati wa kupata uhuru watu walitaka watambulike kwa udini, ukabila na utajiri wao. Aliweza kulifanyia kazi hilompaka likafifia. Sababu mojawapo ya kutaifisha taasisi za elimu...
  5. L

    Ndalichako mbuzi wa kafara?

    Kama kweli tunamlaumu huyu mama kuwa naye anastahili kujiuzulu basi Watanzania uwezo wetu wa kufikiri una walakini. Baraza la Mitihani halina uhusiano na matokeo haya ya kidato cha nne. Wao hutunga na kusahihisha mitihani kadri walivyoelekezwa na wizara ya elimu (mhitasari wa ngazi husika). Kama...
  6. L

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    Ushauri mzuri sana, anaekataa ni mbishi wa aina yake tu
  7. L

    Naweza kujua elimu ya mtu kupitia post zake?

    Kweli, miaka ya 90 alikuwepo mwl wa biolojia akiitumwa Bonyabonya ate?
  8. L

    Jaribio la kuiba dhahabu katika mgodi wa Geita (GGM) lazimwa

    weka picha hapa, walikuwa wanelekea uwanja wa ndege upi, wa kwao au Mwanza?
  9. L

    Nateseka na ndoto

    Pole sana kwa hili, kazana kuomba hata kama watakuwa wameondoka, inuka na piga maombi usali. kama wewe ni mkristo basi kumbuka kuweka biblia chini ya pillow yako.
  10. L

    Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

    Hapo penye redi. Nchimbili zipi? Turudihieni Tanganyika yetu ndo hoja kama hii ije, otherwise hoja ya kubadilishana sioni mantiki yake. Kama nchi ingekuwa inaitwa Tanganyika na Zanzimbar hapa hoja ipo, laikini kwa sasa nchi ni moja inayoitwa tanzania na Rais anaweza kutoka upande wowote wa Tanzania!
  11. L

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Hapo pekundu ndo sherehe inapofanyika, namba za simu code ni za TZ, sidhani kama uliyoyasema hapa yana ukweli wowote. Unaweza ukajidanganya lakini huweze kudanganya wanaoelewa. Mungu akusaidie sana lakini kumbumba hapa watu wanachambua masuala muhimu yenye msatakabali na uhai wa taifa letu...
  12. L

    Hizi Traffic signs mpya zinatuchanganya

    Kinachotuumiza hapa ni tenda za kutengeneza hivyo vibao. Inasikitika sana toka miaka hiyo toka hii barabara imekuwa one way bila uchafu huu na sasa mahitaji ndo yamepatikana. Ikumbukwe kuwa kuna watu wa mikoani nao wanakuja jijini na wanachojua kuwa alama za barabarani kadri walivyojifunza...
  13. L

    Polisi washindwa kulipa mishahara mipya kwa wakaguzi wa polisi

    Nadhani kuwalaumu polisi kuwa wanakumbatia mfumo uliopo ni kuwaonea. Ninavyokumbuka polisi wengi wakati wa uchaguzi wa 2010 walikuwa wanataka mabadiliko na walisaidia sana sehemu mbali mbali kupata mabadiliko. Walidiliki hata kuanzisha ka-mtandao ka sms wakiulizana vipi Dr kapata ngapi hapo...
  14. L

    Mshahara vipi wafanyakazi wa serikali??

    Serikali ina fedha bwana, kama hujapata basi ni compyuter tu ndo iliyokorofisha. Jana watu kama aslimia 70% kutoka halmashauri yetu walipata, ile 30% waliambiwa wasubiri kidogo na watalipiwa dirishani. Fedha ipo, tena nyingi msiwe na wasi wasi
  15. L

    UWEKEZAJI MPYA: Wamasai Walazimishwa Kubadili Dini Monduli

    Kitu cha kuangalia hapa ni kuhakikisha kuwa utaratibu huo wa kuwalazimisha watu dini usizalishwe magaidi. Inasemekana kuwa Al Shabaab walioko Somalia wanategemea mikakati na mbinu kama hii ili kupata wafuasi na wapiganaji. Mimi nina wasiwasi sana na mpango huu kwani kwa vita hii iliyoanzishwa na...
Back
Top Bottom