Bunge la Katiba litakavyokausha pesa za Watanzania

Bunge la Katiba litakavyokausha pesa za Watanzania

hahahahaa kumbe hizo ni overtime tu!!!!!! Kwa siku overtime milioni moja na nusu.......sijui nitukane

CC: MANI

Mpwa kuna vitu hata sijui viongozi wetu huamuaje na kwa vigezo vipi halafu unataka big result kwa mwalimu ngojeni hizo dv5 mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Bunge la katiba wagawana mamilioni kibabe angali mtanzania mwalimu akifanya kazi 30yrs mafao ni mil 4 ila wao kwa siku kazaa wanagawana posho za mamlioni ya pesa. ushahidi huu hapo chini


TZs 30 million tax free; mwalimu anayelipwa TZs 3,600,000 kwa mwaka analipishwa kodi ya TZs 156,000 kwa ajili watu kwenda kugawana. Sasa hao ni watu wadogo sana ndani ya Serikali sijui level ya mawaziri na raisi wanagawana kiasi gani kwa siku, kwa mwezi na kwa mwaka.

Hii ni matusi kwa walipa kodi wa nchi hii
 
Serikali hii kweli inashangaza, linapokuja suala la Kuli-update daftari la wapiga Kura wanasema; "fedha hakuna"....
 
TAKUKURU,take action,viwango vya malipo ya allowance kwa watumishi wa serikali vinajulikana,huu utaratibu wa kugawana pesa kama hawana akili nzuri heti kwa kisingizio kuwa wamefanya kazi nzuri uangaliwe,vigezo walivyotumia kukokotoa hivyo viwango viangaliwe,watu awa wawajibishwe kwani huu ni wizi wa mchana wa kodi za walala hoi.
 
Tena hiyo bado, nimesikia kila mbunge atakayeteuliwa atalambishwa milioni 20 kama kianzio.

Kama wanalipwa hivyo kweli kuna kitu kinatafutwa sio bure. Hivi mnajua waandikishadi wa daftari la wapiga kura wanalipwa 10000 kwa siku. Wanafanya wiki moja sawa na 70000? Suala lenyewe ni sensitive, wasimamizi wa uchaguzi wanapewa 70000 ikiwemo na semina, sasa huu ni unyama tena wa hali ya juu. Mungu atawalaani waache mzaha na lawama za watu wengi. Pesa zita waua.
 
Kama wanalipwa hivyo kweli kuna kitu kinatafutwa sio bure. Hivi mnajua waandikishadi wa daftari la wapiga kura wanalipwa 10000 kwa siku. Wanafanya wiki moja sawa na 70000? Suala lenyewe ni sensitive, wasimamizi wa uchaguzi wanapewa 70000 ikiwemo na semina, sasa huu ni unyama tena wa hali ya juu. Mungu atawalaani waache mzaha na lawama za watu wengi. Pesa zita waua.
Mkuu wameanza kutangulia mmoja mmoja, mpaka sasa majimbo mawili hayana watu na wengine watafuatia.
 
Mpwa kuna vitu hata sijui viongozi wetu huamuaje na kwa vigezo vipi halafu unataka big result kwa mwalimu ngojeni hizo dv5 mwaka huu.
Nahivi wamemuondoa Mulugo watakomaje, watatoa mpaka DIV 6
 
Kwa sioweza kufungua, posha inaombwa kwa ajili ya kazi ya maboresho ya miundombinu. Anayeombwa pesa ni KB ambaye huenda ni katibu wa Bunge (kwenye orodha ya malipo huyuo huyo ndo anatakiwa alipwe pesa nyingi zaidi. Unafikri kama wewe ndo ungekuwa KB, ungeidhisha au ungeaacha?

kashaidhinisha huyo, na yeye anafungu lake, 400m zinakwenda ndani ya mwezi , duuu
 
Bunge la katiba wagawana mamilioni kibabe angali mtanzania mwalimu akifanya kazi 30yrs mafao ni mil 4 ila wao kwa siku kazaa wanagawana posho za mamlioni ya pesa. ushahidi huu hapo chini

Kodi hawalipi bali tunalipa sisi Wananchi na bado wanataka kutumia vibaya hela zetu za kodi kwa kulazimisha Katiba mpya wanayoitaka wao wala siyo tunayoitaka sisi!
 
posho huwa ni laki mbili kwenda chini,hata kama ni honorarium hiyo ni too much,utawala wa jk wizi mtupu
ndio maana hadi leo baadhi ya taasisi za serikali hazijaletewa TT ya mishahara na oc hazijapelekwa kwa miezi miwili!!!
 
hivi hakuna approved structure za hizi posho????? hii nchi mbona inaelekea pabaya sanaaa, wao ni private consultants mpaka walipwe kwa pale utakapoona inafaaa??? she&%$#%$#$$ kabisa hawa, huu ni wizi wa hali ya juuu, kwa mtindo huu JK na watendaji wako mnaifilisi hii nchi na kodi zetu, mm nakatwa kod mamilioni kwa mwezi nikitamani kuona zinafanya kazi kumbe ndio upuunzi na ufisadi kama huu, ebu takukuru ingilieni hili, haiwezekana 400,500,000/- zilipwe kwa muda wa mwezi mmoja tuu na kwa watu wachache hivyo eti posho, na viswahili vya vya "KAMA UTAKAVYOPENDA/ONA"" EBOOO, nchi gani hii ? mbona wabunge tunajua posho zao ni kiasi gani kwa siku iweje nyie mlipane kwa kama atakavyoona katibu??? WIZI HUU
 
Ama kweli watanzania ma kondoo,ZITALIWA NA TUTASAHAU hakuna kati yetu anayethubutu kwenda ofisi za bunge kwa maandamano kupinga wizi huu
 
Kangi Lugola, Anna Kilango, Deo Filikunjombe, James Lembeli, Mbowe, Zitto, Lema, Mbatia, Kafulila, Machari, Lissu na wabunge wengine uzalendo wetu utapimwa kwenye suala hili.


Ndo maana walikuwa wanalazimisha Wajumbe wa Bunge la Katiba wawe Wabunge wa Bunge la sasa na wengine wa kuokoteza okoteza, nakwambia ni balaa ndugu yangu!
 
Halafu uzi kama huu wale jamaa wachumia tumbo wa lumumba buku 7 hawasogei kuchangia, wezi wakubwa
 
I suspect that even some Chadema cadres in the top brass are in bed with CCM on this Katiba mpya issue.Mbowe,Zitto,Shibuda and Lissu know what they are doing,They are simply pulling the wool over our eyes while behind the scene they are laughing all the way to the bank!!Don't ever trust politicians,The one you love very much is the one who will disappoint you badly!We really have to carry a fight on the Katiba issue on our own or else we will regret.We need to push these hypocretical politicians to the limit until we get what we want,Don't count on the Politicians!!
 
Kama hizo posho ni sahihi...Naomba serikari yangu SIKIVU ya sisiemu ichukue hatua hao watu walitumia viwango vip na kanunu zip kujilipa mamilion kiasi hicho na hali mazao yanaoza vijijin kwa kukosa barabara....Wamama wajawazito wanakufa kwa ukosefu wa zahanati,walimu na migomo kwa kutolipwa stahiki zao,wakulima mbejeo hakuna..
 
Mpaka sasa sijaamini, ni kweli au naota? hawa watu wamekosa uhalali wa kutawala,je miongozo ya overtime ya Bunge inasemaje kwa wale wanaojua?
 
Back
Top Bottom