UWEKEZAJI MPYA: Wamasai Walazimishwa Kubadili Dini Monduli

Huo sio ufadhili ni utumwa, itabidi watetetezi wa kijamii katika eneo husika wafanye intervention mahususi ili kuokoa jahazi
 
Hasa ikikosa wasomi na watu wa muhimu! Hii dini huwa huweziingia kama una akili nzuri, hadi uingiwe na majini yakuharibu akili kama Ally Kombo na Faiza
Dini nzuri na yenye watu muhimu na wasomi ni ile ya waziri mkuu wa Uingereza,
David ''CAMERON'' teh teh teh
 
Hasa ikikosa wasomi na watu wa muhimu! Hii dini huwa huweziingia kama una akili nzuri, hadi uingiwe na majini yakuharibu akili kama Ally Kombo na Faiza
Hiyo elimu yako inakusaidia nini kama unadanganywa ya kuwa 'Mungu ni mtu' !? Majini yameumbwa na nani ?
 
Hiyo mistari unayoweka hapo inakufaa wewe na waabudu majini wenzako tu, sisi wengine tunakuona kama fuko la kinyesi lililosahauliwa kituo cha bus
bora jini maana anamjua alie muumba ! Wewe thamani yako haifiiki hata kondom iliyotumika !
 
Uislamu umeruhusu Ucameruni ,iliposhuka Koran 2:223 wake zenu ni makonde yenu , maswahaba wakasema ewe Mtume wa Allah tuwaingilie wake zetu vyovyote tupendavyo? Mtume Mohammad akasema waweza kumuingilia mbele au nyuma yake.
Mwenyezi Mungu ametufundisha hekma kuwa makafiri wakianza kudhihirisha ukafiri wao, basi tuwaepuke ! Inshallah hayo maneno yatakurudia !
 
Kitu cha kuangalia hapa ni kuhakikisha kuwa utaratibu huo wa kuwalazimisha watu dini usizalishwe magaidi. Inasemekana kuwa Al Shabaab walioko Somalia wanategemea mikakati na mbinu kama hii ili kupata wafuasi na wapiganaji. Mimi nina wasiwasi sana na mpango huu kwani kwa vita hii iliyoanzishwa na Kenya ni lazima watu waandaliwe kwa mbinu hii. Ee Mungu epusha janga hili, Serikali yetu pamoja na kuwa likizo nawaombeni kwa hili fanyeni kazi walau siku moja tu kwani inasemekana baadhi ya El Shabaab walikamatwa Kenya na Somalia wengi pia wanatoka Tz. Je kuna mtu anafuatilia mafunzo yao wanapokuwa kwenye dini hizo? Angalieni wasije wakawa wanajifunza konfuu nanyi mnadhani wanajifunza neno la Mungu!
 
ninatanguliza kusema SIAMINI KATIKA UKIRISTO AU UISLAM mimi ni naturalists! Mbona kinachofanyika Monduli ndio staili iliyokuwa inatumiwa na makanisa karibu yote! Mchezo ulikuwa ni huo tu,ukibatizwa ukapoteza jina lako la Shitungulu na kuwa Zakayo unapewa suti 3 piece. Bahati mbaya hao wa monduli wamechelewa,watu wameshakuwa makini!
 
kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake akamwambia haya yote nitakupa ukianguka kunisujudia ndipo Yesu alipomwambia Nenda zako shetani kwa maaana imeandikwa msujudie bwana Mungu wako umwamudu yeye peke Math 4: 8_10 WAKATI hadithi za mtume Mohammad zimeandika kama ifuatavyo Aisha mkee wa Nabii ,amesikia Mtume SAW anasema "nimetokewa na kiumbe mfano wa mwanadamu ,mavazi yake yalikuwa meupe sana umezidi weupe wa kawaida na nywele zake zilikuwa nyeusi zimezidi weusi wa kawaida akanionyesha funguo zaza dunia hii akaniambia nitakupa funguo hizi ukianguka kunisujudu nami nikiwa katika maono nikaanguka kumsujudia. (sahihi bukhari vol.5 hadithi no 731 uk 219 pia mishkat Al maswabibhy hadithi no 2 uk 3) Utapata jibu kuwa Allah ni SHETANI
 
huyo mwekezaji anatakiwa asimamishwe haraka-
hivi swala kama hili ukitaka kuriripoti wapi ambapo panahusika sana?naomben muongozo juu ya hili

Tatizo ni kwamba hatuna serikali inayoweza kulinda uhuru wa wananchi wake dhidi ya unyanyasaji kama huu. Kumlazimisha mtu kubadili au kuingi dini fulani ni kinyume na katiba ya nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom