Recent content by legend Babushka

  1. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unanunua nguo maalumu za kulalia ili iweje?

    Haileweki kabisa. Mwanaume anapanda kitandani kulala kabisa. Huo muda anautoa wapi? Mwanaume unakuwaje na kitanda? Mwanaume unaegemea mti hadi asbh unaenelea na mishe zako
  2. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Naunga mkono hoja ila pia nina jambo la kuongezea hapo. Jamii yetu bado inaamini mtu mwenye maneno mengi basi ana ujuaji mwingi. Kitu ambacho sio kweli. Wengi wanaongea vile kimihemko wakiamini kuwa lazima mteja atanunua kwa kupitia ushawishi na siyo kutimiliza hitaji. Pia, jamii yetu bado...
  3. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Tunashindwaje kumwamini na kumtegemea Mungu wakati sisi ni waamini?

    Luka 17:5 Mitume wakamwambia Bwana, Tuongezee imani.
  4. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

    Tulishapokea ule ushauri kuwa tusishindane na tulipotoka. Bado tunaishi nao.
  5. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Na siyo uzinzi na nyeto tu. Kila amuangaliaye mwanamke au mwanaume kwa matamanio basi huyo amekwisha kuzini naye. Sasa unaweza kuona ni namna gani hakuna alie salama.
  6. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Yaani uliacha kazi sababu ya kunyenyekea sana watu. Ndugu, hata leo ukijiajiri, mteja ndio boss wako. Usitegemee utanyenyekewa wewe na bado mteja atoe hela kununua bidhaa au huduma yako. La muhimu jifunze maarifa na lugha ya kumshawishi mteja kuendana na kazi ulionayo na usijione kama...
  7. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Tafuteni hela humuwezi kuamini nipo na USD $ 1,000,000 Leo Las Vegas lakin pesa hii haitoshi kwangu kuishi kwa siku 7 hapa Marekani

    Hata hivo vimilion 10 hatulipwi. Ila tunaishi kwa imani
  8. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Mchakato wa kuajiri ni gharama. Na ukishaajiri unawajibika kuwapa mafunzo watumishi wapya ili kuendana na mazingira ya kazi. Pia kwa sasa kuna mabadiliko kila mara ambayo pia ili kuendana nayo ni gharama. Sasa waajiri hawatakuwa tayari kumuandaa mtu ambaye atakuwepo kwa muda wa miaka mitano...
  9. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Katika kufulia kwako,umewahi kuuza mali yako gani ya thamani kwa bei ya hasara mpaka leo ukikumbuka unatamani kulia?

    Nilipunguzwa kazini baada ya biashara kuwa haiendi vizuri. Ule mshahara wa mwisho nikaenda kwa mhindi nikanunua freezer ili nianze kuuza barafu pamoja na kuwawekea wapangaji wenzangu vitu vyao kwenye freezer sababu nyumba niliokuwa nimepanga ni ya watu wa kipato cha chini. Basi nikaongezea na...
  10. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongereni sana wote. Mimi bado ila naamini Mungu hajaniacha.
  11. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Ujumbe""""wa leo kwa walio-oa

    Tutafuatilia
  12. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema au Mungu ni mkatili?

    Mungu hamlazimishi yoyote kumuamini kuwa yeye ni Mwema au Mkatili. Imani yako ndio itaamua umuone yeye ni Mwema au siyo mwema. Kama unaona Mungu ni mwema basi usihangaike na upande mwingine ambao unaona yeye ni mkatili. Mungu hapungukiwi na chochote pale mtu anapoamua kutomuona mwema. Hata...
  13. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Yasipoteze Ramani ya Maisha Yako.

    Namba nne ilipaswa iwe ya kwanza. Ukiweza hiyo basi umemaliza
  14. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Ni ushawahi kushuhudia jeuri ya pesa

    Huyu mshikaji alipata hela za madini. Ile kurudi kwao akawa amepanda kwenye gari. Kama kawaida gari linasubiria abiria lijae halafu liondoke. Mwamba kwa hasira akaona anacheleweshwa, ghafla akaingia duka la pikipiki akanunua ili awahi anakoenda
Back
Top Bottom