legend Babushka
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 625
- 1,387
Huyu mshikaji alipata hela za madini. Ile kurudi kwao akawa amepanda kwenye gari. Kama kawaida gari linasubiria abiria lijae halafu liondoke.
Mwamba kwa hasira akaona anacheleweshwa, ghafla akaingia duka la pikipiki akanunua ili awahi anakoenda
Mwamba kwa hasira akaona anacheleweshwa, ghafla akaingia duka la pikipiki akanunua ili awahi anakoenda