Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,861
- 18,417
Njaa, japo Maamuzi ya Maisha yako YAPO MIKONONI MWAKO.Kama ni TAX Management?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Njaa, japo Maamuzi ya Maisha yako YAPO MIKONONI MWAKO.Kama ni TAX Management?
Mdau mimi age ya kuajiriwa serikali ilishapita.We jamaa unaacha kusema ni.wewe humu akuna mtu anae kujua unakazana dem dem
Sio account mkuu nilichanganya kidogo.Amesema ni accounts, accounts mbona haina practical mkuu?
Shukran sana mkuuHongera sana mkuu karibu kwenye utumishi mwa umma
Asante sana mkuuHongera Sana mkuu, ukawe Mtumishi mwema huko uendapo 💯
Hongera sanaWakuu Mungu mkubwa nimelamba asali, nimeingia kwenye account yangu nimekutana na replacement letter ila pdf bado halijatoka
Asante sanaHongera Sana mkuu, ukawe Mtumishi mwema huko uendapo 💯
Hongera sana mkuu ukawe mtumish mwemaWakuu Mungu mkubwa nimelamba asali, nimeingia kwenye account yangu nimekutana na replacement letter ila pdf bado halijatoka
Mungu Ni mwema na Jana kanitembelea na Mimi Sasa Ni mtumishi wa Umma,
Hongera sanaWakuu Mungu mkubwa nimelamba asali, nimeingia kwenye account yangu nimekutana na replacement letter ila pdf bado halijatoka
naye alisoma iyo mucobs?Jamaa yangu mmoja amepata cooperative officer zile tcdc walizosema wanataka watu wa kutoka mucobs tu.
Yesnaye alisoma iyo mucobs?
basi sikuziona hizo nafasi
So sahivi unasubiri kuitwa kazini kwa kada ipi?basi sikuziona hizo nafasi
sasa hivi sisubiri tena maana washapangiwa wote cooperative tcdc. ila mimi sikusoma mucobsSo sahivi unasubiri kuitwa kazini kwa kada ipi?
Karibu sana katika UtumishiMungu Ni mwema na Jana kanitembelea na Mimi Sasa Ni mtumishi wa Umma,