Recent content by leftbrain

  1. L

    ENZI ZILE (Tukumbushane)

    Wakati nipo vidudu miaka ya 91 nakumbuka nilienda dukani kunywa soda,kipindi hicho kulikua na bahati nasibu kwenye pepsi, ile kupekua kizibo nikaona imechorwa picha ya baiskeli, kuna jamaa mmoja akaniomba tubadilishane kile kizibo anipe gari la mchanga, nikamuona nimempaaata
  2. L

    ENZI ZILE (Tukumbushane)

    Nakumbuka kwenye miaka ya 94 au 93 hivi kuna njemba lilinituma condom dukani yy alikua anaona noma kwenda, kwenda pale mwenye duka akagoma kunipa akataka nimuoneshe aliyenituma, ile kwenda na muuza duka kwenye ule uchochoro nilipomuacha yule jamaa, alitoka mbio za ajabu
  3. L

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Hivi lowasa huyu huyo ndo aliuza ardhi yetu loliondo kwa waarabu? Me nadhani hii ndo kashfa yake kubwa ambayo imewahi kumpata. Me nadhani Mazuri yake mengi kuliko mabaya.
  4. L

    Mrema TLP na picha ya aibu

    Inaelekea wabunge aliosalimiana nae jana wanajilaumu. Mana huezi jua alitumia mkono gani kufuta udenda huo. Huyu ndo alikua anatamani uenyekiti kambi ya upinzani? Amekwisha lyatonga wetu jamani. Pumzika baba
  5. L

    El Baradei Atinga Tahrir Square Misri Na Upinzani Wote Nyuma Yake

    The peoples power niya ajabu sana. Wananchi wakisha choka hakuna cha kuwarudisha nyuma. Jana jamaa wamelala tahrir Square.hawaendi majumbani mwao mpaka kieleweke. Wameuchoka sana ule uongozi waki dictator walichoka na mfumuko wa bei wa ovyo ovyo Naamini ipo siku na sisi watanzania tutaiga mfano...
  6. L

    Maiti za vitoto zaidi ya 10 zafukuliwa shimo moja

    Nikweli aisee, nimeiona hiyo habari ITV
  7. L

    Nelson Mandela; Julius Nyerere and Jakaya Kikwete

    Umetuchafua mkuu. Temea mate kauli hiyo
  8. L

    Dowans lazima walipwe

    No way out the payment must be DONE! Ila kama alivosema mtoa mada waliohusika kutuingiza katika hii Mess waadhibiwe...
  9. L

    Hodi humu, nimesikia Mengi kuhusu hii forum

    Sijachelewa maisha mkuu, ila nadhani kama ningeijua hii site miaka miwili nyuma ingenisaidia kuelewa mambo mengi zaidi from great thinkers. Asante sana kwa kunipa maana ya hayo maneno.
  10. L

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Inaelekea unawajua sana hawa jamaa. Kwahayo maelezo yako.
  11. L

    Hodi humu, nimesikia Mengi kuhusu hii forum

    Wats the meanin of PM mkuu?
  12. L

    Hodi humu, nimesikia Mengi kuhusu hii forum

    Haha! Haya nadhani tutafamiana sana tu
  13. L

    Hodi humu, nimesikia Mengi kuhusu hii forum

    Nilikua siifahamu hii site. Nimesikia kuna mambo mengi sana yana endelea hasa challenge mbalimbali za maisha na Serikali yetu hii tata. Naamini sijapitwa sana naombeni mnipokee wana jamii.
Back
Top Bottom