Sammy Nyoni
Member
- Aug 25, 2010
- 9
- 0
...nakumbuka form one nilikuw bonge la domo zege,,,, sasa waskaji zangu kina "lusekelo" wakanituma nikakatokee kabinti kamoja hivi.... (sikakumbuk i jina)... wakanipa maneno kabisa ya kumwambia kwamba nanukuu "" MWAMBIE HIVI MIMI NIMETOKEA KUKUPENDA SANA ... TANGU MDA MREFU NILITAKA KUKUAMBIA LAKINI NILITAKA NIKUCHUNGUZE KWANZA TABIA YAKO... NIMEONA TABIA YAKO NZURI NA NINATAKA UWE MCHUMBA WANGU" nikagoma kwenda... wakanicheka sanaaaa... kuondoa noma nikasema acha niende nikakomae kwani kitugani bwana.... kufika pale maneno yakanitoka.... si nikaanza kumwuliza habari za mwalimu wa agriculture kama aliingia class.... baada ya hapo nikarudi kwa masela huku natabasamu wakajua yess jamaa kakubaliwa...wakaniuliza amesemaje... nikasema amekubali ila anasema nisubiri anifikirie kwanza.... wakaamini...
si wakaanza kumuitayule demu shemeji.... demu akamindi akaenda kwa ticha tukapewa adhabyu ya kufukia mashimo barabarani....
si wakaanza kumuitayule demu shemeji.... demu akamindi akaenda kwa ticha tukapewa adhabyu ya kufukia mashimo barabarani....