Nelson Mandela; Julius Nyerere and Jakaya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nelson Mandela; Julius Nyerere and Jakaya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Jan 30, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maisha ni safari.

  Ni safari ambayo kila mmoja wetu kwa njia moja au nyingine anaacha alama yake.

  Najaribu kuwalinganisha hawa viongozi watatu kwa kuangalia safari zao za maisha. Najaribu kupima na kupembua yale mazuri ambayo mtu anaweza kuyafuata kama alama ambayo wameacha kwetu!

  Wanachofanana sana ni majina yao ya kwanza na mwisho. Yanafanana kwa sababu yote kwa pamoja yana herufi 13! Hicho ndio kitu pekee nimeona wote kwa pamoja wanafanana!

  Naamini kwamba JK anajifunza na amejifunza kutoka kwa hao wengine na atakapomaliza muda wake atakumbukwa kama hao wengine!!

  Long live Hon. Jakaya Kikwete! Nakuombea utakapomaliza muda wako ukumbukwe kama Mzee Mandela na Mwalimu Nyerere ambao wamekutangulia!
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Naomba umwondoe Kikwete kutoka kundi hili. Hajajifunza lolote kutoka kwa Nyerere au Mandela. Yeye anajua kila kitu ndio maana ameboronga nchi kiasi hichi. He simply does not belong in this honorable group.
   
 3. P

  Popompo JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  msando msando!hawa watu ni muhimu sana huwezi wafananisha na JK!JK ni tatizo kwani anachukulia mambo kwa urahisi sana.mwalimu angekuwepo leo hakuna hata mmoja angedhubutu kuongelea udini.yeye kama rais anashindwa kukemea kwa sauti ya mamlaka anaongea kwa kubembeleza.inakera bana hawafanani hata kwa mbali mkuu
   
 4. MKANDYA

  MKANDYA Senior Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni sawa kulinganisha kichuguu na milima.
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu, JK hayuko kwenye hilo kundi kabisaa...
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,822
  Likes Received: 921
  Trophy Points: 280
  Tema mate chini we msando Unalinganisha Manchester United na Lipuli ya Iringa?!! kisa wote wanacheza ama walicheza mpira mmoja wa duara duh una utani wewe!!! sasa na makamba,Maghembe,kawambwa wako kundi gani?!! hukawii kusema kawambwa ni sawa na Sokoine!
   
 7. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Msando si vibaya ukitutaka radhi kwa hili.

  Madhaifu ya hawa wazee wawili Nyerere na Mandela huwezi kulinganisha na upeo wa juu kabisa wa JK.
   
 8. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani ungeondoa hilo jina la jk haraka iwezekanavyo maana unweza kusababisha mwalimu(nyerere) huko alipo akashtuka,tafadhali plz ondoa hilo jina.
   
 9. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  mkuu, kichuguu na mlima inaweza kufananishwa.....kichuguu ni kidogo na mlima ni mkubwa.......hiyo hapo juu ni kama ile michezo ya kutoa kitu kisichofanana.....yaani unapewa group lenye vitu vitatu, chumvi, sukari na vocha ya LUKU halafu unaambiwa utoe kitu ambacho hakitakiwi kuwepo kwenye hilo group.
   
 10. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye nyekundu sikubaliani.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,382
  Trophy Points: 280
  toa upupu huu ..huwezi kuziunganisha dot za hao jamaa wawili na kikwete
   
 12. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe na wewe ni popompo? Utawezaje kukutanisha mashariki na magharibi? Nisamehe kama nimeropoka,but kikwete huyu naye mjua hafai katika kundi la wazee wetu watukufu, Au ulimaanisha John kennedy?
   
 13. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Wewe na Msando wote ni mapopompo!, mnastahili kuingia kwenye malipo ya RA, kwa kumkweza baba yenu kikwete..
   
 14. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wewe lengo lako ni kuharibu mood za wana jf. Utani huu ungesubiri uutole siku ya tarehe 01.04.2011 ambapo ingeonekana ni siku ya wajinga. Sio leo ,tafadhali sana.
   
 15. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umepotokaje? Pamoja ya kuwa wote ni wataalamu wa kucheza viduku hadharani JeyKey hawezi kuwa kwenye level moja kiutendaji na Jacob Zuma wa Mzansi. Sembuse kumlinganisha na majabali hao wawili?
   
 16. l

  leftbrain Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetuchafua mkuu. Temea mate kauli hiyo
   
 17. n

  ngoko JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kukumbukwa lazima maana ametetea Dowans, alitoa siku kwa wezi wa EPA kurudisha hela ili waepuke mkondo wa sheria etc. ukiangalia hizi zote ni deal za mabilioni yanayoishia kiulaini mikononi mwa wachache sasa hawa wanasababu ipi ya kutokumkumbuka ? Otherwise atakumbukwa kwa kuwa rais wa I wa tz kuface Peoples POWER.
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Get serious buddy, unawezaje kumuingiza K'wete kwenye list ya waheshimiwa waasisi? Huyo bwana labda umuingize kwenye list ya ......!
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Najua unatania. In fact, hata kikwete mwenyewe akisoma thread hii atashangaa kwamba "eeehh pamoja na kuendesha nchi shagalabagala hivi kumbe bado kuna watu wanaona kuna chochote cha maana nilichofanya!!!!!!"
   
 20. l

  limited JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yaani utani mingine bwana!!!!!!! Unaweza kupigana kikwete na mandela ? Ha ha ha ha ha ha ha mbavu sina
   
Loading...