Recent content by Lee van

  1. Lee van

    Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

    Mlichangishwa michnango kujenga uwanja wa bunju mmefikia wapi? Mliahidiwa msimu huu unaoenda ukingoni mngetumia uwanja wa bunju kama uwanja wa nyumbani je ni mechi ngapi mmecheza na ni nani amehoji
  2. Lee van

    Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    Kaka FABIAN babuya unatisha sana, hakika MUNGU ametoa kipaji kwa mtu sahihi kabisa, HONGERA SANA KAKA NB: Ukitaka kumjua vizuri FABIAN BABUYA usisubiri arosto huku mfuate whatsapp upate madini
  3. Lee van

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kwa hili sio kweli jamaa yuko makini sana, nimenunua simulizi kama tatu hivi kwake na ya mwisho ndio alichelewa kidogo kutuma ilikaa kama dakika 20 kuipata. Hivyo usiwakatishe tamaa wenzio kama wewe hutaki kununua
  4. Lee van

    Riwaya ya kipelelezi: Maiti 15 tu nitafurahi tena

    Hongera mkuu mzigo uko poa
  5. Lee van

    Innocent Killer (The Revenge)

    FEBIANI BABUYA kaka unatishia sana kwenye utunzi Allah akuongoze katika hilo Inshaallah
  6. Lee van

    Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

    Hebu jitokeze, jionyeshe, simama mbele ya watu... Tangazo la KIWI miaka hiyo
  7. Lee van

    Uzi maalum wa kutambua kazi kubwa na muhimu inayofanywa na wasanii Roma na Ney wa mitego

    Hawa jamaa wako vizuri sana ila Roma anaweka mafumbo mengi na Ney anapasua live
  8. Lee van

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Hongera sana @Singano_jr hadithi imetulia mno
  9. Lee van

    Gereza la Hazwa

    Kama naitaka yote kiasi gani Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  10. Lee van

    Naitafuta nyimbo ya Mh Temba

    Wimbo unaitwa Ipo siku
  11. Lee van

    Ujasusi - Umoja namba 97

    Kigongo kiko poa sana hiki
  12. Lee van

    Ujasusi - Umoja namba 97

    Mkuu tuma japo vipande vitatu
  13. Lee van

    Ujasusi - Umoja namba 97

    Hadithi tamu kaka na hongera kwa utunzi uliokwenda shule, ila please usije ukatuacha njiani
Back
Top Bottom