Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

Chai jabaaaa

Du du du du yeee ooo nooo
Duuuu

Mpesa Ile wewe ni nani unatokea wapi unatuma wap sisi hatujali

Hivi sasa ni saa 3 kamili usku

Malaika nakupenda Malaika
Lala mtoto
 
tangazo la lotion ya amanda mwaka wa 1998 kipnd hcho redio one ilikuwa inatangaza yaan ilikuwa pw sana,alafu kuna tangazo moja hv la chombeza tme redio one saa 4 usiku ule mlio wa chombeza tme nimeumiss kweli mwenye ule mlio naomba anitumie tafazalin jaman
Hilo la chombeza time sio walikuwa Vodacom kweli??
 
tangazo la mihogo festival ya clouds fm, kuna mwamba wa kuitwa Gardner g habash huwa napenda sana jinsi anavyoyapatia matangazo
 
1690337979915.png
 
Kuna lile tangazo linaonyesha chupa ya bia ya bariiiiiidi inavuja jasho halafu inamiminwa kwenye glass povu linatimka halafu jamaa anapiga fundo za nguvu unasikia koo linaloa mlio jinsi kimiminika kinavyoshuka kooni

Aiseee hata kama nipo sebuleni na babamkwe lazima niende grosare nika kirudie kile kitendo nimeona kwa tv
 
Wasalaam,

Muziki au matangazo ya kibiashara ni vitu vinaweza kutukumbusha hazina ya muda na mambo mazuri tuliwahi kuwa nayo zamani

Binafsi siwezi kulisahau tangazo la dawa ya kuzibia pancha baiskeli..."Vipi Rambooo? Pancha banaa...pancha wakati kuna okoo..."...hapo niko pembeni ya mshua nafanya zoezi la hisabati tena vile vya maswali 40.

Wewe unakumbuka tangazo gani na linakukumbusha "moment" gani nzuri?
Mimi ni jambo kubwaaaa,
Mimi ni jambo ndogoooo,
Aisee nilikuwa nacheza kbs lile tangazo kama wimbo wa Tajiri!
 
Azania wheat flour

Hakuna jina linaloshinda
Jina bora ni azaniaaaa
Jina linalosifika mahali popote
Unga unaotamba sehemu zote
Unga wa azaniaaaa
Jejejejeaaa jejejejeaaa
Azania unga bora
Jejejejeaaa jejejejeaaa
Azania fahari kwa mtanzania
 
1.Ebu jitokeze, simama, mbele ya watuuu hili lilikuwa la kiwi
2. Manka nilikuwa nakupenda kama tomato sauce
Lakini tangu nimekukopesha na hautaki kunirudishia pesa zangu nikikukamata

Hili tangazo sikumbuki lilikuwa la nini.
 
Jambo. (mimi naitwa jambo kubwa na wewe je....)

Safari (safari ni safari, iwe kwa miguu....)

Kuna tangazo la world cup sijui ya mwaka gani ile ilikuwa tamu kweli (mchinja kuku ile anataka kumkata kuku mara goli linafungwa, wote na kuku wanashangilia na kukumbatiana. Kuna na mtu na mgoni wake wanashangilia goli na kukumbatiana.....)
 
Back
Top Bottom