Recent content by lbaraka

  1. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

    Na kweli watu wengi kwa sasa hawalipii tena cable tv. Nasikia pia nchi kama Nigeria wanahack sana systems zao na wanaangalia bure tu. K'o wanapata hasara sana
  2. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana ajenda gani ya kimkakati?

    Hahahahahahahahahaah. Hakuna ajenda ya maana hapo
  3. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Eti danga...ila watu, dah..😂😂😂😂
  4. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Usinunue iphone 13

    Yaani humu watu mna vituko aise. Eti labda uibiwe..😂😂😂😂😂
  5. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Fahamu fursa za kilimo cha Nyoka

    hahahahahahahahahahaha
  6. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Dstv

    Channel ya La Liga wameipa jina EURO 2020 mzee. Nadhani watairudisha tu baada ya Euro kumalizika
  7. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

    Kabisa yani. Huu ndo ukweli. Wengi wa watumiaji wa Insta na Fb hata shule zimewapita kando
  8. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Tafuta dem au oa kabisa
  9. lbaraka

    JamiiForums Tanzania FIFA kuidhinisha programu ya kuripoti upangaji wa matokeo ya mechi kabla ya mchezo husika

    Yeah. Na sababu kubwa pia ni kwamba hizo kampuni za betting ni wadhamini wakuu wa timu nyingi sana za soka duniani. So, the teams must return the favour
  10. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Mtwara College of Health and Allied Sciences (MCoHAS)

    Hicho chuo ni tawi la MUHAS au
  11. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Habarini Wakuu Kuna jambo linanitatiza sana sana yani. Katika kampeni zilizoanza za Rais John Magufuli, amekuwa akionekana jukwaani na popote akiwa na walinzi waliovalia sare za kijani yaani CCM. Wale jamaa ni wa kitengo kabisa na hawapaswi kuwa na chama chochote kwani TISS ni chombo huru na...
  12. lbaraka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Picha iko wapi mkuu? Sasa utajitofautishaje na wapiga majungu wewe
  13. lbaraka

    JamiiForums Tanzania List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

    Hiyo ya GOT naikubali mnoo. Inastahili kwa kweli!!
  14. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Mkapa aliweka ripoti ya Jaji Warioba Kabatini, Tuseme ukweli

    Viwanja vya Jangwani pale
  15. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    Tanzania ingelikuwa ni USA wangeshampiga impeachment ya fasta. Katiba ya hovyo sana hii:mad::mad:
Back
Top Bottom