Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,361
malezi mabaya yako wapi hapo, huo ndo ukweli , angekuwa Bora angejenga msingi imara hata kama siku hayupo nchi isingeteteleka.Tatizo la maleze mabaya ndio haya
malezi mabaya yako wapi hapo, huo ndo ukweli , angekuwa Bora angejenga msingi imara hata kama siku hayupo nchi isingeteteleka.Tatizo la maleze mabaya ndio haya
Ok Na Bei ya mkate marekani Ni sh.ngap?Hata Marekani bei zao za mfuta zipo juu!kuliko zetu hapa nchini.View attachment 2211413
Alikuwa anenda kufanyA hivo ila mkamuwahi kumuwekea ile sumu Yeni kutoka urusimalezi mabaya yako wapi hapo, huo ndo ukweli , angekuwa Bora angejenga msingi imara hata kama siku hayupo nchi isingeteteleka.
Wewe nani kakuzuia kujenga?malezi mabaya yako wapi hapo, huo ndo ukweli , angekuwa Bora angejenga msingi imara hata kama siku hayupo nchi isingeteteleka.
miaka mitano ilitosha sana kufanya mabadiliko ila ndugu yenu ukabila mwingi sana , na ajenda ya kujiongezea mda wa kutawala.Alikuwa anenda kufanyA hivo ila mkamuwahi kumuwekea ile sumu Yeni kutoka urusi
Isingetosha....nchi Gani system yake iliwekwa Kwa miaka mi5?miaka mitano ilitosha sana kufanya mabadiliko ila ndugu yenu ukabila mwingi sana , na ajenda ya kujiongezea mda wa kutawala.
tatizo mnashabikia tu ujinga, rais ni kiongozi mwenye mamlaka makubwa vinginevyo alizungukwa na watu wanao ona siku moja mbele.Wewe nani kakuzuia kujenga?
Sasa unatakiwa kuelewa kuanzia leo kwamba mwenda zake alianzisha ma miradi mengi KWa pupa na mangi yapo viporo, Sasa uyu wa Sasa unataka akaanzishishe miradi mingine badala ya kumalizia Iyo ambayo ilisha ingizwa pesa za mikopo kibao ,iyo itakua ni akili au matopeTangu aingie madarakani sijaona aje na mradi wowote wenye mashiko.
Hii ni tofauti kabisa na mtangulizi wake, John Magufuli, aliyeijenga nchi kwa miundo mbinu ya hadhi ya juu pamoja na mega-projects kama Bwawa kubwa la kufua umeme, ujenzi wa reli ya kisasa, kufufua shirika la ndege na mengine mengi.
Samia huyu toka aingie yeye ni mwendo wa Corona tu. Gia yake ya kwanza alipoingia madarakani ni CHANJO.
Gia ya pili ni TOZO na kupandisha gharama za bidhaa kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
Sijaona kama ana jambo jipya lenye tija alilolifanya mpaka sasa.
Nasikia anafungulia DEMOKRASIA. Watu wawe huru KUBWATA kila mahali bila kukamatwa na GESHI RA PORISHI.
Leo hii mafuta yamepanda kwa zaidi ya 1000 Tshs ndani ya miezi miwili tu! Hii ni kitu gani? Ukiuliza unajibiwa kirahisi sana "Vita ya Ukraine"!
Hata alizeti tunayoilima singida nayo imekuwa haba kwa sababu ya vita ya Putin na Zelensky.
Kila kitu bei juu, mafuta juu, chakula juu, miamala ya fedha juu, vifurushi juu, kila kitu juu.
Tunahitaji Rais anayeweza kuidhibiti nchi na kuiongoza. Hii kujitepesha kizenji haiweza kutusaidia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo utapata tabu sana.
Wewe umeona rais anatatizo gan? Au huelewi unataka nini?tatizo mnashabikia tu ujinga, rais ni kiongozi mwenye mamlaka makubwa vinginevyo alizungukwa na watu wanao ona siku moja mbele.
Hahahahahahahahahaah. Hakuna ajenda ya maana hapoJambo jipya na lenye tija ni hili na mkwilima wetuView attachment 2211463
Sijashangaa yeye kuachiwa, nimeshangaa ilikuwaje akafungwa wakati ukiwa ccm una kinga ya uovu?!Sabaya kaachiwa.
Unajisikiaje?
Sina popote nilipo shangilia zaidi ya kushangaa, na nina post niliyosema ni maigizo tu. Na sasa muda umedhirisha hilo. Kwa ule uovu aliofanya Makonda na bado yuko nje, ni mwehu tu angeaamini mahakama inaweza kutenda haki eti kwa kumfunga Sabaya.Mbona ulikuwa unashangilia alipofungwa?
Tena nasikia ukachoma mbuzi na kuandaa tafrija. [emoji12]
Dogo utateseka sana na siasa [emoji12]
Tuliwaambia humu mkakaza mafuvu.
Mama anaupiga mwingi. [emoji12][emoji12][emoji12]
Sukuma gang tuko imara [emoji12][emoji12][emoji12]