Recent content by lavista

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Hii nyumba sio choo kipo ndani ila cha shimo.Namaanisha sio cha kuflash.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Clouds Media wamesimama wapi katika hili la Escrow?

    ile sio redio ni kituo cha matangazo.Wahuni sana wale utasikia uzalendo uzalendo kumbe wanajipitisha kwenye watoto wa wakubwa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Maelezo Ya Muhongo: Ni Kwanini Seith Sigh Bado Anaweza Kuwa Tapeli

    Uhalali wa prof. muhongo kuwa na majigambo badala ya kujibu hoja unatokana na kutoelewa kwa wanaanchi pamoja na kuzima umeme nchi karbu yote bado ukweli utajulikana.Kwa hili hatopona jion ya leo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

    safi sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Brother K wa Futuhi

    story za ukabila mnapenda kweli.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Basi la Air Bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali

    nafikiri ni gharama ila maisha ni gharama zaidi.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Basi la Air Bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali

    kila gari awepo trafiki
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili wa kunisomesha

    pia ww ni mhuni mwez wa 4 ulisema unatafuta mchumba wa kiume.Mwez wa 5 post natafuta limama ww ni msaniii.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili wa kunisomesha

    ww upo sahihi ila humu jf sioni anayetambua jitihada zako hata kidogo bora uende sehemu nyingne.
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekolewa na mke wa mtu jamani

    kuwa makini kijana
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    mwambie aje ofisini tumpe kazi jina la kampuni ni YESU ATOSHA .
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae mume

    vp mtoto ana umri gani?isije ikawa ulipigwa mashine ikiwa mdogo sana
  13. L

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    wasira yupo vizur
  14. L

    JamiiForums Tanzania STAR TV hamko serious!

    picha ingeonekana wangejitokeza watu ambao sio wazazi halisi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania STAR TV hamko serious!

    ww haupo makini coz zile ni taratibu za kiusalama.
Back
Top Bottom