Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

Hio nyumba itakuwa ni janga .no picha no price wewe unaambiwa tu njoo uione ahhaha . Mambo y akina abunuasi. Sasa kwa nini u advertise online if you lack.?

Wateja serious wanatumia hiyo namba kupata info zaidi....!!
 
Hio nyumba itakuwa ni janga .no picha no price wewe unaambiwa tu njoo uione ahhaha . Mambo y akina abunuasi. Sasa kwa nini u advertise online if you lack.?

Sio salama kupiga picha nyumba ambayo mtu anaenda kuishi, note that mkuu!
 
Hata km ni tapeli sasa kwa hapo atakutapeli nn? Acha uoga dogo!

Utapeli ni pamoja na kutotoa taarifa zote za msingi kuhusiana na biashara husika!

Mfano: Kwa nini bei hataji?
1. Utakuta bei inategemea na mwonekano wako, na kila mtu atatajiwa bei yake.

Kwa nini picha haziwekwi?
2. Nyumba itakuwa na condition ambayo kama ukiiona mapema hutaenda.
 
Ni ruksa kufanya hivyo ktk biashara, ukiwa na muonekano wa kipedeshee basi utalipia bei kubwa, kikubwa ni ww uridhike na bidhaa unayolipia
 
Hii nyumba sio choo kipo ndani ila cha shimo.Namaanisha sio cha kuflash.
 
Hii nyumba sio choo kipo ndani ila cha shimo.Namaanisha sio cha kuflash.

Hii nyumba ni standard, ingekua sinza ungeipata sio kwa chini ya laki 4 kwa mwezi. Hapa utaipata kwa bei ambayo ipo chini sana ya hiyo bei.
 
Chini sana una maana gani hata elfu 50 taja bei watu wenye kiwango hicho wakutafute .... au unajaribu biashara
 
Unamaanisha choo cha shimo na kipo ndani? Ndio maana mdau hataki kutuma picha za nyumba

Achana na hizo propaganda... Gharama yako ni nauli tu au mafuta ya gari tu kuja kuicheki nyumba yenyewe.
 
Kwanza nimeipenda hiyo ya BARABARA YA MOROGORO ROAD ila naona sifa kuu ya maisha ya mwanadamu haijaulizwa wala hujaisema MAJI
 
Maji yanapatikana kwa wingi.... Unaweza kuja kuiona kesho siku ya jpili.
 
Kwanza nimeipenda hiyo ya BARABARA YA MOROGORO ROAD ila naona sifa kuu ya maisha ya mwanadamu haijaulizwa wala hujaisema MAJI

Maji yapo ya kutosha labda kuwe na shida ya mitambo ya dawasco.
 
Maji yapo ya kutosha labda kuwe na shida ya mitambo ya dawasco.

ha ha ha haaa hapa kwenye maji umenifurahisha sana,eti "maji yapo yakutosha labda kuwe na shida ya mitambo ya dawasco" sasa hiyo mitambo mpaka itengenezwe si atasubili mpaka atapata wajukuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom