bright mgalla
Member
- Jul 28, 2014
- 33
- 5
ukpenda boga ndo upende na ua lake! kma ushakolewa na mke wa mtu bac ujue na mumewe yupo
acha kusupport rubish,mda upi huo,nonsense
Kumbe Kujisifia kula mke wa mtu ndio akili.... mpe namba ya simu ya mkeo then aje atusimulie na huku
Ujanja wa nazi, macho matatu lakini haioni
Shoka linakuita.
Adhabu yako ni kifo(for real u deserve it). Nakuahidi mungu hamtupi mja wake,utakuja kufanyiwa kwa mkeo bora mwenzio hajui,wewe utajua na utakosa la kufanya. Utaza watoto wote wakike na wote watafanywa na watu wako wakaribu,na hata bahat ukizaa mtoto wakiume,atakuwa shoga na mtaa wote utajua. Kwann mungu asikulipe? Why? Labda uache.
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez miwili, tulipo maliza shughuli akanambia "Lenin ngoja hili tumbo litoke nikupe mamboz kisawa sawa" wadau nisaidien ushauri kakolea nimekolea kaniahd makubwa tumbo likitoka

Mkuu haya maneno unatoaga wapi?
Akikolea anakuwaje eti?ujue kuna.wataalam wa kuchepuka kila siku..yaani mchepuko endelevu
Halafu eti dada King'asti si ndo.maana nikasema apa unafiki tu watu shingo zimekomaa kumbe ndo zao..hapa hata hujaenda kwa mpiga ramli kumkumbuka huyu mmoja
Hahahahaaaaa, paw ataniona wapi yuko busy kupiga ban wana JF hadi anakuja home yuko hoi hajiwezi? Ila siyo SIRI KUCHAPIWA INAUMA! Yaani huyu jamaa nimesoma thread yake nikahisi nyongo imemwagika mwilini mwangu, waaaaaaaaaaaaaa na mapigo ya moyo yaka-double, adrenaline hormone imeshafanya kazi! We fikiria kababy kako kazuri unakapenda nikajakazito then anatokea mbwakoko anatia najisi hadi mtoto aliyetumboni!! Na anakuja kujitapa hadharani! Yaani ni bora ingekuwa siri yake moyoni, aiseeee!