Mbona bado kuna redio nyingi tu nawengine waweza peleka zao huko zikapingwe mi ushangaa mtu Kukaa au kumchukia mwenzie sababu ya upuuzi huu ni upuuzi kuchukia mtu kwa kile kinachomuendeshea maisha yake siasa upumbavu km upumbavu mwingine na sisemi mashabiki wa siasa kama wao wako mbali na upumbavu.
Hii stori kama movie vile inanisikitisha kwa kuchukuwa sheria mkononi lakini Madereva wa maroli ya mafuta mna msemo wenu wa KUPIMA MZANI inawezekana we Mzani wako ukawa mbovu(wizi wa lita nyingi bila woga)
Alikuwa wapi kipindi chote hadi leo au uchunguzi wake haukuwa umekamilika hadi asubiri kipindi hiki cha mvutano
Kama ni mjuzi wa mambo kweli namuomba ripoti ya kifo cha Chacha Wangwe.
Kwa nchi kama ufaransa au nyinginezo zinazoitwa zilizoendelea wao upanga mambo kama haya hila kukamilisha malengo yao hapo utaskia walihusika ni watanzania hivo katika dhamila yao wakituandama watanzania itakuwa hakuna pingamizi kwa.jumuiya yeyote kwani tukio liliopangwa limefanikiwa vizuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.