Clouds FM na Kuipromote CCM,TCRA mpo wapi?

Clouds FM na Kuipromote CCM,TCRA mpo wapi?

Mbona bado kuna redio nyingi tu nawengine waweza peleka zao huko zikapingwe mi ushangaa mtu Kukaa au kumchukia mwenzie sababu ya upuuzi huu ni upuuzi kuchukia mtu kwa kile kinachomuendeshea maisha yake siasa upumbavu km upumbavu mwingine na sisemi mashabiki wa siasa kama wao wako mbali na upumbavu.
 
Hawajifunzi kwa Juma Nature, hawajifunzi kwa akina Masanja mkandamizaji kwa kukubali kutumika na Tawala kilichowapata?

Mbona hutaji Diamond Platnumz ? Ila masanja mbona ndio tajiri wa wasanii ama wajifunze nn umekusudia? Hemu npe msanii mmoja ambae katajirika kwa sababu tu kasema yeye ni mpinzani? Unaenda kumtaja Juma nature na Masanja watu wenye majumba yao na magari yao wewe unamiliki smartphone ya kuingilia JamiiForums tu hehehe
 
Last edited by a moderator:
Umenena mkuu, umemsahau Marlaw.

Hili Ndio Tatizo! Wengi Watumikiao Mabwana Uchaguz Ukiisha Na Wao Biashara Kwisha.Kama Unataka Biasha Yako Ikue Lazima Uwe Neutral Kwa Wateja Wako Bila Kujali Itikadi Zao.
 
Wakuu nasikia mmiliki wa hiyo redio na clouds tv ni rugemalila ni kweli ama..

Si kweli, mmiliki wa Clouds TV na Radio ni Joseph Kusaga. Meneja wa vipindi vya TV na Radio ni Ruge Mtahaba na si Rugemarila.
 
KUSAGA mwenyewe nchi kahama siku hizi anaishi ABU DHABI.

EA.Nov_.17.14.JK_.Hospitalised.Abroad.jpg
 
Juzi kwenye kipindi chao cha jahazi walimkaribisha zuhura yunus wa bbc swahili akawambia heshima ya bbc ni kutokana na kuwa ni chombo huru lakini hayasikii haya mang'ombe ya clouds radio. Their not professional
 
Umofia kwenu wana JF,
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu hiyo radio kutumikia ccm,leo nikiwa kwenye daladala,nimesikia kwa masikio yangu,clouds fm ikipiga nyimbo za kampeni za ccm kujiandaa na uchaguzi mkuu, TCRA naomba ufafaunuzi kutoka kwenu,nakumbuka Ruge mkurugenzi wa clouds alisema radio yao wameisajiri kwa malengo ya burudani,sasa iweje kwa sasa wawe wanafanya promotion live za chacha cha ccm au wameupdate leseni yao? Najua chama wanaweza wakanunua kipindi kwa ajili ya malengo ya kufikisha ujumbe katika radio yeyote lakini kile kipindi kilikuwa sio cha chama ni cha kila jumamosi.

Mkuu achana na hao waganga njaa. Kuanzia January 2016 kitanuka tu hasa ukizingatia wengi wao hawana mbele wala nyuma (kielimu na kiuchumi).
 
Last edited by a moderator:
Alikuwemo Komba studioni eti ndiyo alikuwa akitambulisha single ya uchaguzi mwaka huu.
Hii ndiyo taabu ya wanawake, mfano Mimi Leo hii nipo home maana ni weekend no job hivyo nipo nafamilia ndiyo nakuta wife kaweka Cloudccm hawa na ndiyo yamenikuta haya kusikiliza ujinga wa akina Komba. Clouds nilishawapuuza toka muda mrefu na U-CCM wao huo.

Hiyo ndio interview ya Mwisho ya Mwendazake Capt. Komba.
 
Clauz inapoteza umaharufu wake cuz wapo wengi sana wanailalamikia...matangazo mengi uchama wanauwa wasanii (zamu ya kiba) kupanda...kwahiyo sion ajabu kufanya kampen yakupandisha ccm km kinana!!!
Octobr 2015 mwisho
 
Siamin mtoa hoja kma kafikiria vizuri kuhusu burudan japo mm chadema dam simuungu mkono cz moja ya sifa ya nyimbo nikuburudisha au kukufundisha na kukuelimisha so labda wameweka kwaniaba ya kukuburudisha tu na sio vinginevyo
 
Back
Top Bottom