Mchumba ananipa wakati mgumu aisee msaada wakuu

Mchumba ananipa wakati mgumu aisee msaada wakuu

kila mwisho wa wiki tuma text saba umwambie za wiki nzima...asome moja kila siku....
 
Ukihishiwa maneno yaliyo lukuki hizo styles zisizo fika 20 inakuwaje?
 
Nina mchumba nipo nae zaidi ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai meseji za mapenzi zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile daily.

Nimemtumia kama miezi minne mfululizo siku nisipomtumia basi ni kununa mwanzo mwisho yaani kawa addicted fulan hivi
na kwajinsi anavyo respond maneno yangu huwa anafarijika sana ananiambia hupatwa na furaha ya ajabu na ndo anapata usingizi.

Tatizo mimi stock ya maneno imeisha sina maneno na kama ninayo ni marudio sasa wana jf kama vipip dondosha ujumbe wowote wa kumfariji msichana mimi nikopi na ku paste chini nikiweka saini yako.

Hapa utakua msaada wa kuimarisha uchumba hata kwa wengine JF FOR LIFE thanks

Mkuu mbona Google ina kila kitu unahangaika bule,we andika tu love sms utaletewa mpaka za mwaka kesho!
 
Sister maneno ya mapenzi yanapendeza zaidi kama yanatoka moyoni na sio kuchukua mzoo kutoka kokote kule, nyimbo huongeza tu utamu wa yale maneno matamu yatokayo moyoni.



ni kweli ila mleta mada yeye anataka tu kumridhisha mchumba wake .....ngoja afanye hivyo...ila mie binafsi uwa zinatoka moyoni.....yaani uwiii....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimependa hapo kwenye rangi, hongera zako....🙂 Kupenda na kupendwa kiukweli raha sana na si haya mauzauza tunayoyaona yakizidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha.



ni kweli ila mleta mada yeye anataka tu kumridhisha mchumba wake .....ngoja afanye hivyo...ila mie binafsi uwa zinatoka moyoni.....yaani uwiii....
 
Last edited by a moderator:
Mama yako unamtumia ujumbe wa "ahsante mama kwa kunizaa" mara ngapi kwa mwaka???
 
Back
Top Bottom