sandakarawe
Member
- Jan 4, 2015
- 7
- 0
Ha ha haaaa...
Yan wewe nawe unaonekana una ubongo mdogo kama wa mende (samahani lakini) Mtu akishasema tuliograduate nao, ina maana nayeye amegraduate. Kifupi nayeye ni msomi, ana elimu ya juu. Yani unashindwa kutumia logic kwenye vitu vidogo kama hivi????
Wenye mvuto ni noma, pressure inakuwa juu muda wote wa maisha yako
Haka kauchunguzi kangu nilikokafanya kalihusisha marafiki zangu wengi ambao tuligraduate nao miaka mingi ilopita.
Wengi wao wameoa wanawake wasiokua na mvuto, wanashindwa hata kutoka nao out, hata kuwatambulisha kwa marafiki zao. Mara nyingi hata ukifungua kwenye social network zao ni adimu sana kuwa apulodi kwenye wall zao sanasana huisia ku apulodi za watoto wao.
Tukija upande wa pili. Wale vijana wa kitaa ambao elimu yao ni ya kawaida tu ndio wanamiliki wadada wakalii.
Hivi tatizo ni nini haswa?
Matatizo mengi ya kwenye ndoa yanaanzia tangu tunapochagua wachumba au wenza wetu......huwa tunafanya kosa kubwa sana tunapolingisha sura ya kuvutia na umbo la kuvutia la mwanamke kuwa ndio ni kigezo cha kuwa mke bora......kimsingi ni kwamba sifa ya kwanza ya mwanamke anayefaa kuoa ni tabia njema na ya pili ni heshima
...mwanamke mwenye sifa hizo ndio anayefaa kuwa mke wa mtu....unapochagua mchumba jua kwamba wewe ndiye utakayeishi naye na sio marafiki zako wala ndugu kwa hiyo kama ni machungu ya ndoa wewe ndiye utayekuja kuyapata na kama ni raha za ndoa ni wewe ndiye utakayekuja kuzifaidi na wala si hao marafiki au ndugu zako kwa kuwa wewe ndiye staring....
Uchaguzi wako sahihi wa mchumba ndio utakaoamua hatima ya ndoa yako.....
Wapo watu nawafahamu wameoa wanawake warembo wa sura na maumbo ya kuvutia lakini wanaishi kama wapo guantanamo kwani mwanamke ni jeuri mpaka unajiuliza nani aliyeolewa humu ndani....
Samahani is Agatha your real name.Uzuri siku zote upo machoni pa mtazamaji.
ndio mkuu
Post kama hizi ukicomment you always made my day!
nimeacha siku hizi kuna mtu kanipiga stop
Mkandara,
The only response I have for you is a big AMEN!!
Nani huyo aliyekuweka braza wa mimi kiganjani namna hiyo...