Kama Salamander
Anna Peter...
Jamani umetaja jina la cousin wangu kabisa....
Kuna sister duu nilisoma nae anaitwa Kibibi Nyuki.
Oooh!!! what a coincidence...
Kuna mdada namfahamu kwa jina hilo, sasa ukilitaja jinale kwa haraka ni kama umetamka neno 'anapita'...
Jamaa alipigwa na polisi kisa haya haya mambo ya majina.
Polisi: Jina lako nani?
Jamaa: Mamba.
Polisi: Unaishi wapi?
Jamaa: mtoni.
Polisi akakasirika akampa virungu, kumbe jamaa anaitwa Mamba na anakaa Mtoni Mtongani.