Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
wagala bana....watoto wa kipalestina waliuliwa wakawa wanakenua hapa

sasa siku agents wa mossad walipotiwa mbaroni wakauliwa kule gaza wakaja kasi na mambo ya HAKI ZA BINADAMU na kuwahurumia...

yaani huu unafiki wa kijinga sana aisee

Je ni sahihi kumsadia Allah, kuwa watu hovyo kwa kutumia jina la Allah? jem Allah ndo anataka msaada huo? kunaushahidi wowote kuthibitisha Allah anaomba msaada wa mwanadamu.
 
kumwaga kimba kumwaga kimba! Kasauti rainii huku unatembea kama gari imekata center bolt! Onyesha kaburi la Yesu kafir mkubwa wee! Toka muham mad akalie mjengo kule taif na kuwapa wepesi mkachanwa mikunjo wakati mnamgeza mkae taiyatul sigino lenye maga lizibe vutu, mnagawa huku uswazi kama njugu hadi unaitwa mchezo wa kisilamu! Laanatulahi!

Kitorondo kitorondo.....mwendawazimu kaingiajee !
 
Ndo utubainishie sasa wewe hasa ukoje?.kwanini ishu ya kina charb unaitolea jicho sana,ama ndo umepatiapo njia ya kuwaponda waislamu?.
jana kuna watu kama kumi wamepatikana mexico wamekatwa vichwa sijaona ukiwa concerned.
leo kuna mbaba kule marekani kamtupa binti wake wa miaka mitano toka ghorofa ya tano,akafa,hauko concerned.

nikwambie tu,wewe una double standard kama walivyo wengi wa aina yako.

double standard kama kawaida yao JF wengi mno humu
 
Ndo utubainishie sasa wewe hasa ukoje?.kwanini ishu ya kina charb unaitolea jicho sana,ama ndo umepatiapo njia ya kuwaponda waislamu?.
jana kuna watu kama kumi wamepatikana mexico wamekatwa vichwa sijaona ukiwa concerned.
leo kuna mbaba kule marekani kamtupa binti wake wa miaka mitano toka ghorofa ya tano,akafa,hauko concerned.

nikwambie tu,wewe una double standard kama walivyo wengi wa aina yako.

Ulipokuwa unaandika weledi wangu kuhusu Bush uliniuliza kwanza? au ulitoka na maamuzi yako kuniwekea mdomoni.
 
Je ni sahihi kumsadia Allah, kuwa watu hovyo kwa kutumia jina la Allah? jem Allah ndo anataka msaada huo? kunaushahidi wowote kuthibitisha Allah anaomba msaada wa mwanadamu.

baba jukwaa liko JAMII INTELIGENCE kaanzishe thread mambo ya ALLAH kule....unachakachua thread ya watu

hapa ni kuhusu ma cartoonist baasi kuhusu allah sijui mambo mengine tafta siku ingine sawa kijana

jioni njema
 
Hapana wanawake wakislam hawatembei uchi hao ni wakristo tu, na hakuna mwanamke wakikristo hatembei nusu uchi ukipata basi ni 1% tu ya wanawake wote wakikristo. Waislam vigumu kuona mwanamke anatembea nusu uchi au uchi, huyo anaye fanana na wakristo atakuwa an jina tu limefanana na wanawake wakislam.

Hayo yakusema yananihusu nini, mimi huwa siwajali ndio mana nawapa ukweli mwenye kuwajali ndio anawaogopa.

Hata WEMA SEPETU ni mkiristo acha kutumia makalio kufikiri kama marehemu Muhammad
 
Je ni sahihi kumsadia Allah, kuwa watu hovyo kwa kutumia jina la Allah? jem Allah ndo anataka msaada huo? kunaushahidi wowote kuthibitisha Allah anaomba msaada wa mwanadamu.

Je ni haki kuwaachia wanadamu wamuue mtoto wa mungu wa pekee kwa kipigo kikali cha kikatili huku Babake akiangalia !? Balali
 
Last edited by a moderator:
baba jukwaa liko JAMII INTELIGENCE kaanzishe thread mambo ya ALLAH kule....unachakachua thread ya watu

hapa ni kuhusu ma cartoonist baasi kuhusu allah sijui mambo mengine tafta siku ingine sawa kijana

jioni njema

Ungejuwa walouwa waliuwa kwa jina la Allah usingejichenga namna hii.
 
Je ni haki kuwaachia wanadamu wamuue mtoto wa mungu wa pekee kwa kipigo kikali cha kikatili huku Babake akiangalia !? Balali

Ukienda kuiuliza bible itakupa jibu, kabla hajafika ulimwenguni hilo lilikuwapo kunakomaandiko.
Je hii ya hawa wenzetu wanaouwa kwa jina la Allah ndivyo ilivyo pia? au kumsingizia muumba?
 
Kwa nchi kama ufaransa au nyinginezo zinazoitwa zilizoendelea wao upanga mambo kama haya hila kukamilisha malengo yao hapo utaskia walihusika ni watanzania hivo katika dhamila yao wakituandama watanzania itakuwa hakuna pingamizi kwa.jumuiya yeyote kwani tukio liliopangwa limefanikiwa vizuri na kwa hili lengo lao sasa ni kwa Waislam waishio nchini humo wala si waarab kwani si waarabu wote waislam uzuri wa hadithi hii ndio imeanza tungoje mwisho wake.
 
Haya maandiko ya kudhani ndiyo udhaifu wenyewe, unaushahidi na hiki ukisemacho? yaani wanauwa wakisema Allahakbar wewe unaleta propaganda na assumptions dadaangu!
 
The police officer was a Muslim.

huyo polisi anaitwa Ahmed,ana asili ya Morroco

hawa magaidi, mdogo'32' alikuwa akifanya kazi ya ku deliver Pizza na aliwahi fungwa 2008 kwa kosa la kuwachangia kifedha má hijadist wa Iraq na alikuwa mtukutu gerezani

mkubwa'34' aliwahi husishwa na mpango wa kutorosha wafungwa France ili kwenda vitani Iraq 2002
 
Walimuonya!!! kumbuka tunaongelea mambo ya Allah hapa, Je Allah aliwatuma wamuonye? au niudhaifu wa ubinadamu wao wakimsaidia Allah mambo ya peponi, dhambi na kugawa thawabu?
Hapa tunaongelea Gunmen walivyopiga risasi wachora vibonzo stadi wa Ufaransa wa gazeti la Charlie Hebdo waliokuwa wakimdhihaki Mtume Mohammad.
 
Mkuu mi huwa nakukubali sana

hili gazeti hili hili wanalodai freedom of expression...walichora katuni za kuwatukana JEWS wakamfukuza kazi cartoonist

so ukimchora jew we ni ANTI-SEMITIC ila kutwa kumchora mtume wa watu hiyo ndo FREEDOM wanayodai....

ImageUploadedByJamiiForums1420736217.860364.jpg
 
Hapa tunaongelea Gunmen walivyopiga risasi wachora vibonzo stadi wa Ufaransa wa gazeti la Charlie Hebdo waliokuwa wakimdhihaki Mtume Mohammad.

Huko nikupotosha tu. je walipokuwa wanauwa wanauwa kwa jina gani? wanasema Allahakbar hawasemi mtume muhamad elewa ndugu.
 
Hapa tunaongelea Gunmen walivyopiga risasi wachora vibonzo stadi wa Ufaransa wa gazeti la Charlie Hebdo waliokuwa wakimdhihaki Mtume Mohammad.

Mkuu huyo jamaa yuko frustrated vibaya....povu tupu dah...kazi ipo

msamehe bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom