Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Wachumba wapo wengi we sema anaowataka yeye ni wale wa matumizi 100,000 kwa siku na kuishia kufunuliwa. Abadili life style
nadhan uko sahihi kwa % kubwa
Wachumba wapo wengi we sema anaowataka yeye ni wale wa matumizi 100,000 kwa siku na kuishia kufunuliwa. Abadili life style
penye red umejichanganya sana kwa kifupi sijakuelewa. Nkwimba Ngulyati
Sema kweli tatizo liko kwako unajifanya unamwombe rafiki ya ushauri ,ila tatizo nikwamba maboys tunaogopa kuchapiwa so tunaamua kutafta madem wakawaida ili kukwepa Hilo.
Habari wanajamvi, naomba kueleweshwa kuwa ni kwanini wanawake wengi waliojaaliwa na mwenyezi Mungu Uzuri wa tabia na maumbo mazuri kwanini hawaolewi mapema wanakaa mda mrefu?
Mimi hapa nilipo ninategemea kuolewa mwakani inshala mwenyezi Mungu akijaalia lakini rafiki yangu analalamika kila mara kuwa kila mwanaume anayempata hamuoi anabakia kumfunua funua tu, sasa hivi anamiaka 29 na mimzuri sana.
Natambua kuna watu wenye uelewa na hili suala tafadhali naomba ushauri ili nimsaidie mwenzangu kupitia Jukwaa hili.
Yeye yuko Dar kwamaana alikuwa anaishi Arusha na huyo anayetegemea kuishi naye yuko Dar na yeye.
Nipe namba zake na ikiwezekana jina PM tuone itakavyokua
umegundua rafiki anachezewa rafu mchana kweupe?marafiki kwa kusingiziwa mh...
penye red umejichanganya sana kwa kifupi sijakuelewa. Nkwimba Ngulyati
Mimi hapa nilipo ninategemea kuolewa mwakani inshala mwenyezi Mungu akijaalia
Kwanza kabisa kabla hujalalamika kuwa hupati wa kukuoa inabidi ujiulize wewe mwenyewe kuwa umejiandaa kuolewa...?
Umejiandaa kuwa mke wa mtu.....?
Umejiandaa kuishi maisha ya ndoa....??
Jitazame mfumo mzima wa maisha yako una kasoro gani...??
Wazungu wanasema "the first impression is the best impression" mtanirekebisha kama nimekosea.....
Wadada wengi wanalalamika kuwa hawapati watu wa kuwaoa wakati wao wenyewe hawataki kuolewa.....watu wanakuona kila siku umevaa nguo za nusu uchi....
Watu kila siku wanakushuhudia ukibadilisha wanaume mithili ya nguo za ndani.......
Watu wanakuangalia unavyowajibu watu nyodo kwa kudhani kuwa hakuna mwanamke mzuri kuliko wewe duniani...jiulize ni mara ngapi watu wanakuona ukiwa umelewa na kuangusha gari...??
Kitu ambacho wadada wengi hawajui ni kuwa wanadhani kuwa waoaji wanatoka sayari nyingine...hajui kuwa wanatoka humu mtaani tunamoishi kwa asilimia kubwa.....hata kama hatoki mtaani kwenu lakini muoaji mwenye hekima humchunguza mke kabla ya kumuoa....na taarifa nyingi na za uhakika atazipata mtaani kwako...hapo ndipo atakoambiwa...ahaa unamuuliza binti wa mzee fulani yule katulia bwana, kwanza anajistiri sana alafu ana adabu na mpole.....
upande mwingine utasikia yule binti sio kabisa yaani hata uoe shetani na sio yule binti......
Kwa hiyo dada zangu ninachotaka kuwa kumbusha kuwa mtindo wetu wa maisha unachangia kwa kiasi kikubwa uwezekano wa wewe kuolewa au kutoolewa......
Vile kuolewa ni jambo la heshima na stara kwa hiyo lazima ujiandae kwa jambo zito kama hilo....
Pia muwe makini na ndimi zenu...
Mimi naamini katika falsafa ya kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza....
Ukijiheshimu na kuwa mtu wa adabu sio tu kwa muonekano bali kwa matendo....
Wachumba utakuwa kimbia mwenyewe.....
USHAURI WANGU NDIO HUO...
Mpango wa MUNGU kwa wanadamu wote katika mtazamo wa dini zote na imani zote nikuishi katika hali ya mke na mume,vinginevyo ni UBATILI na CHUKIZO mbele zake...tazama mienendo yako na usijifariji mbele za watu wakat moyoni unaumia..ni rahisi kusema hapana ikiwa kuna NDIO inayochoma ipo ndani yako...swala cyo uzuri wa sura wala umbo..NI AKILI TIMAMU,kama ukikubali mwili wako ndio uendeshe akili yako na maisha yako hakika utakuwa muumini na mfuasi wa shetan...