Recent content by LANDA

  1. L

    Mwanamke ukimfanyia hili anakuwa na furaha sana, hatakuja kugombana na wewe

    Hahaha mke kama huyo hurudii tena kumpa pesa za malengo maalumu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

    Daah jamaa ww mbavu zangu ukuni hauna mwenyewe
  3. L

    Kwa hali hii, kwanini housegirl asimchukue mumeo?

    Muelewe hoja hapo sio kurudi usiku au bize anapata wapi muda wa kuangalia tv na wa kutoa amri ambayo kapewa na mumewe.Mbaya zaidi watoto wanaumwa hata hajui.
  4. L

    Kwa hali hii, kwanini housegirl asimchukue mumeo?

    Kizuri kula na housegirl mama watoto ni kumzalisha mwanzo mwisho.Kwa uvivu huo mchepuko lazima ukuhusu.
  5. L

    Huu mchezo unaitwa 'mzungukeni'. Kupunguza PAYE na kuongeza VAT

    Mchezo mzuri sana unatoa mfuko wa kushoto then unaweka mfuko wa kulia. Hivyo ndo pesa inavyotafutwa na serikali yetu pendwa.
  6. L

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Huu mchezo hauitaji hasira, competitive market VAT inatuhusu sisi watumiaji wa huduma. Hata kama leo watakubaliana kumbuka kesho wataongeza the main aim of bussnez man is to maximize profit
  7. L

    Mbinu zipi za ziada za kupata utajiri kwa njia halali kabisa?

    Kila tajiri ana njia zake kwa mujibu wa vitabu kwa waliofanikiwa ni kwamba lazima uwe na 1.Akili ya ziada ya kufikiria uwezo wa ki entrepreneure. 2.Kipaji binafsi(Talent) mfano Messi,Ronado, Diamond wa bongofleva,Ally Kiba na wengine wengi. 3.Ukunali njia za kufundishika, nenda shule, jifunze...
  8. L

    Hongera Rais Magufuli kwa kutupa somo la leo kuwa "Mbwa ukimjua jina Hakupi Tabu''

    Hii TZ tunachonga sana hasa sisi tusio na ndugu wa kutushika mkono, sioni kipya Mh. JPM kuteua watu ambao tayari wazazi wao au wao wenyewe wamekitumikia chama kwa muda mrefu. Fuatilia chaguzi za marekani kwenye kiti cha uraisi utangundua kitu, Kenya vilevile, Zanzibar nao pia kwani rais kakosea...
  9. L

    Natafuta mwalimu. mzuri

    weka maelezo ya kutosha, siku ya jumamosi ni sehemu gani na je kipaumbele cha masomo unayohotaji hasa ni yapi?
  10. L

    Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi...

    bonge la somo, uzi kama huu kwa watu wenye malengo chanya lakini uthubutu unawashinda inawafaa sana kwani the good entepreneure is the one who bear risk, usiogope kujaribu hata kama wanakukatisha tamaa kwamba hautaweza.
  11. L

    Usaili utumishi transport officer

    jaman transport maswali gani yanaulizwa
  12. L

    Hii project ya Tanzania Democracy Support Project ipo?

    nilitaka nitume sasa ivi kumbe ni matapeli mmh tanzania na sheria zetu za mitandaoo fanyeni kazi yenu
  13. L

    Nina masters ya management ila nashangaa kazi imekua ngumu kupata

    bonge la ushauri, kazi inatafutwa sana na watu wa elimu ndogo kwa wenye level kubwa, kidogo ni ngumu kupata,kwaio cha msingi ndugu yangu usikate tamaa ya kutafuta.
Back
Top Bottom