Son of King
New Member
- Feb 17, 2016
- 4
- 1
Natafuta Mwl ambaye anaweza kufanya Kazi siku za Jumamosi tu kuanzia saa tatu hadi saa sita mchana. Na awe na uwezo wa ku solve maswali ya mtihani wa NECTA form four.
Tuma CV yako kwenye Email hii;
donsonofking@gmail.com
Note:
1.. Orodhesha masomo gani unaweza kufundisha.
2. Andika pia kwa lisaa limoja unataka ulipwe kiasi gani.
Tuma CV yako kwenye Email hii;
donsonofking@gmail.com
Note:
1.. Orodhesha masomo gani unaweza kufundisha.
2. Andika pia kwa lisaa limoja unataka ulipwe kiasi gani.