Ile couple matata kabisa ya Diamond Platnumz na Zarithebosslady imevunjika rasmi

Mkuu sina ushabiki wa kihivyo yaan niumie kisa staa kaumizwa. Kwanza ndio nafurahia zari awe huru maana ts too much. Ukienda mtandaoni utakuta team zari wamefurahia.

That is super cool, mimi pia namtakia maisha mema mama/dada wa watu, most of us feel happy to see achievers suffering.

Kibongo Bongo tuna msemo wa aliyeko juu mngoje chini, so akiharibikiwa tunapata faraja.
 
Nafikiria tu huyu pop icon ile nyumba South ilikua yake kweli au aliuza sura tu.Hammer lile tulionyeshwa? Km huu uhusiano utakua umekwisha huyu dogo atakua kapigwa hela ndeefu sana tusubiri tuone.
 
Kiki tu hizo mnachezewa picha halafu utatoka single,ndani ya nusu saa viewers milioni mbili!wote ni wajasiriamali wale.
Kuondoa jina hakufuti ukweli kwamba watoto ni wa Nassibu
 
Hahahahaha raha ya haya maubuyu usiwe na team yeyote uwe unapita tu kusafisha macho.
Hamna msafi kati yao...
Diamond ana asili ya sketi toka anatoka kimuziki mwanamke kujiaminisha wewe ndio wewe kwake na kujigamba hadharani yataka moyo sana (huu ni ukosefu wa reasoning sababu unavutia nguvu hasi kutaka wakufunze adabu na wanaume wachache sana wanakataa kipochi manyoya kilichojileta)
Zari nae ni mjinga tu katika nafasi yake kushikwa shikwa makalio hadharani na kujigamba kila unapofanya mapenzi na mtu ni ujinga (mtu mwenyewe umemzidi umri parefu) hata hao rafiki zake hawafanyi upupu anaofanya huyu mama wa5, cha ajabu zaidi wale unaowatukana malaya na warahisi ndo hao hao wanalala kitandani kwako na wengine wanazaa kabisa (aibu sana hii inaonesha hana uspecial wowote angalau mwanaume angekua anaenda mafichoni nyumba anaipa heshima or basi hata chumba cha wageni ndani ya nyumba)
Hizo mbwembwe za kudelete sijui unfollow aziache tu hamna kinachobadilika kajifunza mafunzo kwa vitendo hatorudia upuuzi aliofanya mtandaoni nadhani anatamani hata records zipotee. ( mwanamke sifa heshima it's a man's word mwanaume hata afanye nini mwisho wa siku maisha yake hayasimami na wanawake ataendelea kuwala tu)
Wasolve mambo yao kimya kimya kama kuachana waachane bila mbwembwe sio wakwanza wao. Ndoa ya Mandela ilivunjika sembuse wao wazinzi tu. Mtcheeeeew
 
Bora wewe unakubali watoto ni wa nasibu,wengine hawakubali hilo yaan wanataman sana wale watoto wasiwe wa dai wanaona kama zari atapata mali nyingi za dai
Nahisi kuna ule wimbo waliovaa kihindi ndio utatolewa kipindi hiki
Kiki tu hizo mnachezewa picha halafu utatoka single,ndani ya nusu saa viewers milioni mbili!wote ni wajasiriamali wale.
Kuondoa jina hakufuti ukweli kwamba watoto ni wa Nassibu
 
Bora wewe unakubali watoto ni wa nasibu,wengine hawakubali hilo yaan wanataman sana wale watoto wasiwe wa dai wanaona kama zari atapata mali nyingi za dai
Nahisi kuna ule wimbo waliovaa kihindi ndio utatolewa kipindi hiki
Watu wanashindwa kabisa kuwaelewa hawa wajasiriamali wameshaombana radhi kilichobaki wapige pesa wagawane pasu pasu
Diamond hawezi kukubali kumuachia kirahisi,Zari nae ana watoto wadogo watamsumbua tu mama yao,isitoshe watoto wa Ivan kwa sasa wanaangaliwa kila kitu na Diamond
 
Hapo kwenye red impossible mission mkuu,dai anaishia kwa akina tiffa tu. Kuna msemo unasema mshahara wa mwanaume ukiwa laki 5 na wa mwanamke laki 3 jumla inayotumika ni laki 5 tu ya mwanaume. Ile mali ya ivan anzia watoto mpaka pesa dai hana hana amri pale
Watu wanashindwa kabisa kuwaelewa hawa wajasiriamali wameshaombana radhi kilichobaki wapige pesa wagawane pasu pasu
Diamond hawezi kukubali kumuachia kirahisi,Zari nae ana watoto wadogo watamsumbua tu mama yao,isitoshe watoto wa Ivan kwa sasa wanaangaliwa kila kitu na Diamond
 
Ila nyie mnaomjua hata kidogo huyu mama ebu nisaidieni hili swala m cjawahi kumwona aki smile yani meno yake kuyaona ni vigumu kwnza mdomo hata apige picha gani lazma afumbe mdomo naombeni msaada kwa hili
 
638a4d612f60e44a7a16a51b64415bfa.jpg
 
Back
Top Bottom