Ukishasikia habari za Mpesa na Tigo pesa, kata kona!!! Maumivu hayo
- M-Pesa : Aloyce Shirima ----0763-99-04-11, Namba hyo na ukipiga haipatikani na wao wamekataa mtu kupiga, Anayetaka kuliwa atume
Hio namba inapatikana usiku tu alafu ukipiga hawapokei alafu na link ya website yao haifunguki kabisa.
Shirima eeeh? Ni shiiiiidah!
- M-Pesa : Aloyce Shirima ----0763-99-04-11, Namba hyo na ukipiga haipatikani na wao wamekataa mtu kupiga, Anayetaka kuliwa atume
BS33UD139 Imethibitishwa Tsh51,500 imetumwa kwa Aloyce Shirima Tarehe 16/8/15 saa 12:29 PM Salio lako la M-PESA ni Tsh57,920.
Msitume ndugu zangu me nmetapeliwa