Recent content by Lamine don

  1. L

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tabia zifuatazo watachelewa sana au hawataweza kuwa matajiri kwenye uzao wao wote

    3 Inategemea. Ila zingine uko sawa Mkuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

    Yuko sahihi . Muacheni afanye shughuli zake. Chama kina viongozi wengi wapambane kujenga chama. Afanye kazi zake namuunga mkono. Isitoshe aliondolewa kwa Aibu na Fedheha Muacheni apate muda wa kukaa na familia Yake.
  3. L

    JamiiForums Tanzania EU: Pesa zinazojenga Afrika zinatoka Ulaya lakini Wakandarasi ni Wachina ambao hawajatoa hata senti Moja. Afrika ijitathmini

    Nadhani sio msaada ni Mikopo kutoka ulaya. Ambayo inalipwa kwa Riba.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea anafungwa, asipofungwa nipigwe ban la mwaka

    Na wamelala kweli the blues
  5. L

    JamiiForums Tanzania 2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

    PSG hana uwezo wa comeback ya goli 3.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wanatamani kushangilia magoli Ya Chelsea ila hawana namna. PSG amekuwa Mkulima sasa.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wengi walidanganywa na media. Karibia media zote Duniani zilishadadia kuwa Chelsea anapigwa tena goli nyingi. Kama ni mikeka Chelsea Tumechana kama Yote.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Michuzi PSG walimfunga Madrid goal 4, Tunajua hao PSG ni Mabingwa wa UEFA 2025. Leo tunaitangazia Dunia we are Back the Blues.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hakuna Dembele wala nani leo Chelsea Tunabeba ubingwa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sema Chelsea ni hatari,
  11. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunakula burudani leo
  12. L

    JamiiForums Tanzania 2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

    Hilo linawezekana Chelsea anabeba. the blues
  13. L

    JamiiForums Tanzania 2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

    Mkeka huo , Game ijayo press Chelsea utanishukuru.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Umeamua kututisha,hatutishiki mkuu Tutapiga tu hao. @ the blues
  15. L

    JamiiForums Tanzania 2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

    Leo Madrid anakula 7
Back
Top Bottom