Recent content by LakeT

  1. L

    Re: Ubadhilifu wa kutisha ndani ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Angalia kwanza Mleta mada ni nani. Hilo jina lake linasadifu thread.
  2. L

    Watumishi tisa wa halimashauri ya manispaa ya Kigoma ujiji wasimamishwa kazi

    Watumishi waliosimamishwa kazi ni nani na nani wa idara gani na wamesimamishwa kwa makosa gani? Si vema kutuletea habari nusunusu.
  3. L

    Wanachokwepa Waziri Ndalichako Na Naibu wake Hiki Hapa

    Tatizo liko katika mfumo. Kwwnza namna walimu wenyewe wanavyopatikana ukitafakari kwa undani utazimia. Eti anachukuliwa div.3&4 aende akawe mwalimu alafu Div.1&2 akasomee taaluma nyingine "zinazolipa vizuri". Hapo ndipo tatizo linapoanzia.
  4. L

    Wizara ya Afya, muimulike na NHIF

    Mwanza kuna hospitali za CF na Kamanga ni nzuri lakini hazipokei NHIF cards. NHIF ni jipu pa ukweli.
  5. L

    A husband/Life partner

    Dada nakushauri utakapopata huyo mume urudi utujuze ili tufurahi pamoja nawe. Tunakuombea ufanikiwe.
  6. L

    Mbunge Kahama: Wanafunzi waruhusiwe bila Viatu na Sare(Uniform)

    Mi naona kama huyo mbunge abataka kuwasaidia wananchi wake basi awanunulie uniform na viatu. Akinunua kwa ajili ya maskini tu wasio na uwezo kabisa hata mshahara wake wa miezi mitatu utatosha kumaliza hilo tatizo.
  7. L

    Pigo Kubwa kwa CHADEMA: Babu Duni Ameipiga Chini CHADEMA!

    Babu Duni hajawahi kuwa CDM aliingia huko kupata sifa ya kugombea tu.
  8. L

    Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    Zitto siyo zao la CCM. ZZK ni zao la CDM. Sema ametofautiana mambo mengi na wenzake wa CDM na Kubenea ni Mwanaharakati aliyesaliti uanaharakati wake kwa kula matapishi yake kwa hiyo hawa watu wawili hawalinganishiki.
  9. L

    Pesa

    :shut-mouth:
  10. L

    Pesa

    Watu wakitaka kuoana zinaitwa Mahari
  11. L

    Maandishi kwenye magari, tumefika huku?

    lingine limeandikwa : 2+o=20? HATA SIELEWI!na lingine: UTAMU WA KAZI NI PESA.
  12. L

    LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

    Jamani matumizi ya ligha nzuri ni muhimu hata kama mtu kakuudhi mjibu vizuri. CDM wamebunimradi wa kukusanya fedhakwa maendeleoya chama,haya masualaya nani anakula wapiyanatpka wapi?
Back
Top Bottom