Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,668
- 149,839
Wakati sisi tukiendelea na utaratibu wa kikatiba wa kutoa kinga kwa raisi kutoshikiwa popote,waziri mkuu wa zamani wa Israel,Ehud Olmert amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 18 kwa kosa la rushwa.
Olmert, alikuwa waziri mkuu wa Israeli kati ya mwaka 2006 mpaka mwaka 2009 na alitenda kosa hilo alipokuwa Mayor wa Jiji la Jerusalem.
Watanzania tuna kubwa la kujifunza hapa ingawa hili swala nadiriki kusema halipewi umuhimu hata na wapinzani.
Sifa yetu kubwa ni kulalamika tu tena kwa kufuata matukio na tukio likipita tunasahau tunangoja liibuke lingine.
Mtanisamehe huu ndio ukweli kuhusu sisi wabongo.