Nasikia mke wa mtu ni sumu, nina panya wengi nyumbani wananisumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasikia mke wa mtu ni sumu, nina panya wengi nyumbani wananisumbua

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Same ORG, Oct 22, 2012.

 1. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda mwenye msaada wa kunipatia ilipo sumu hii anitaarifu ninaiihitaji
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sumu inatafutwa, tafuta utaipata tu!!
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mke ni sumu ya mtu na si ya panya kama unavyofikiri mkuu, ila kama unaitafuta utaipata tu
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  umenikumbusha kitale. alienda usiku kwenye nyumba ya jamaa akawa anapiga hodi. mwenye nyumba akaitika karibu, kitale akamuuliza; mke wako yupo?, jamaa akamuuliza mke wangu unamtakia nini usiku huu?..kitale akajibu;
  nataka nimpeleke nyumbani kwangu kuna panya wengi nasikia mke wa mtu sumu. mia
   
 5. G

  Gitifii Senior Member

  #5
  Jan 5, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ucjaribu chombeza, yatakuja yakukute, ucyoyategemea........utakojoa dagaa- by LWP Crew.
   
 6. zanzsco

  zanzsco Senior Member

  #6
  Jan 7, 2013
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mke wa m2 sumu ila mume wa m2 ni madhiwa teyar kwa kunywa!
   
 7. danali

  danali JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2013
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 808
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 180
  Kwani sumu inayomuua mtu haina uwezo wakuua panya
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2013
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  hii sumu ya mke wa mtu haiui panya ni special kwa wanaume wanaoiba wake za watu tu
   
 9. L

  LakeT Member

  #9
  Jan 8, 2013
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 5
  :behindsofa:
   
 10. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2013
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  :bathbaby::bathbaby::bathbaby::bathbaby::bathbaby:
   
Loading...