Recent content by lady L

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Njoo PM tuyajenge ila zawadi ni halali yake mpatie tu!:D
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Njoo PM tuyajenge ila zawadi mpelekee tu:(
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Kama mie ninavyofikiri,ampe zawadi amwambie alizileta kwa ajiri yake hlf amchunie bs ndo utu ulivyo lkn ki ukwel inaumiza sana
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeichoka ndoa yako?

    Kwel hata mie naanza kuiogopa aiseee
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uchawi na ushirikina sehemu za kazi unavyoteketeza wengi

    Umesema kwel mkuu, makazini huko watu wanauana sana sie tulioajiriwa juzi na vielimu vyetu ndo shida zaid. Lkn yote ni kumuomba Mungu tu!
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na dhana ya "we can just be friends

    Tehee,sio wote wapenda pesa wengine tu masikin jeur!
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia ya kupambana na huzuni na hisia zenye kuumiza moyo

    Ushauri mzuri,ila kujipa muda kwanza wa kutafakar kabla hujaanzisha uhusiano mwingine ni muhimu sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Acheni hizo warembo mnatubania sana!

    Hahahahaaaa umeona e!
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanuni moja mpya ya kuoana

    Wanakwaza saaaaana
  10. L

    JamiiForums Tanzania Acheni hizo warembo mnatubania sana!

    Kwel pm muhimu sana!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Duuu nimesoma mwanzo wa uzi huu mpk mwisho sijaona pacha wangu jaman! Wa tar. 22 MARCH jaman ajitokeze
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Majina ya undergraduate ya udom yameshatoka jaman?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Shetani: Adui rafiki asiye na kinyongo

    Sorry mkuu Mshana na ile ya first day ni buddha
  14. L

    JamiiForums Tanzania Shetani: Adui rafiki asiye na kinyongo

    Asante mkuu Mshana
  15. L

    JamiiForums Tanzania Shetani: Adui rafiki asiye na kinyongo

    Mkuu Mshana Jr naomba unitag kwenye post zako hasa ile ya ZIMEBAKI STORY plzz
Back
Top Bottom