Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,307
kinachofanya watu waichoke ndoa ni walikurupuka,ndoa yao haijajengwa na UPENDO bali ni wameoana tu kwa vile muda umeenda,au mimba,au mali,au stress za kuachika kwenye relationship za nyuma. Yes ndoa iliyojengwa na upendo ina changamoto pia ila panapotokea kupishana wanakaa pamoja kwa upendo na kuyamaliza,ila hizi zilizojengwa na stress ni kuumizana tu utasikia wewe hukua chaguo langu nilikubali tu kuolewa na wewe sababu ya umasikini au sababu muda umeenda au sababu ya mimba yaani ni full kukomoana. Raha ya ndoa ni ijengwe na UPENDO WA PANDE ZOTE MBILI.