Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

:dizzy: kwa wale tulio ombea nacte bado tuko :bounce:kwa vichwa vyetu.....!!!!!
 
Jaman tulioomba kupitia nacte inakuwaje had sasa msaada kujulishwa kama yakitoka...0759434485
 
Nilifikiri utawaambia library nzuri ina vitabu vya kutosha
Na internet ipo kwaajili ua research nakudownload vitabu na kusoma vitabu online kama google books.
Kwahali yakula bata chuo nafikiri ushauri waajabu huo.

miundo mbinu ya kujisomea ni nzur ushindwe ww, chakula c gharama ukiona cafeteria znazngua kuna wajasi a.k.a mama ntilie . ila kama umechaguliwa info o school of business studies and economics ukirukaruka tu jiandae kuomba chuo upya TCU. karibu udom ndugu
 
Ha ha haaa wana chuo cha kata mnaitwa hapa mpeane mawazo
 
Informatics pakigumu gumu sanaaa.... Ni kama uboizini tuu.... Maana mademu hakuna kabisa, social and humanity ndo balaa...mtu mmoja mademu wawilii...hahah raha sana
 
UDOM hostel zakutosha,mazingira mazuri ya kusomea,internet ni full kwa wapenda movie ni kudownload tumaseries,cafetaria zakutosha,bata linalika sana club 7,club 84,maisha club,..totoz za cbe,mipango na st.john kibao..mungu akupe nini tena?
akupe sap,carry,disco,stress & depression na ukimwi in additional...:glasses-nerdy:
 
Jiandaeni kulipa pesa ya bima laki nzima ilihali wenzenu wa vyuo vingine wanalipa elfu hamsini

UDOM bana,chenga sana pale

acha kupotosha watu, nimeingia kwenye website ya UDOM leo pesa ya matibabu ni sh elfu 50
 
inategemeana xa&college uloitwa labda social na humanity uko utaenjoy ila ukija natural&mathematical science especially Bsc in mathematics,Bsc in physics, Bioz chem utaiaga boom bila kupenda!!

kelvinho bady organism...kweli kaka natural and mathematical science ni college matata...ukija jiandae kusulika sana hakuna bata huko....
 
acha kupotosha watu, nimeingia kwenye website ya UDOM leo pesa ya matibabu ni sh elfu 50

udom.jpg
 
Back
Top Bottom