Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,384
Haha. Mambo mpendwa.
Mpendwa ni poa teh
Haha. Mambo mpendwa.
Kwel pm muhimu sana!Kiukwel siyo tabia nzuri kufungia wanaume pm. Ila pia mnaboaga huko mikija mnakuwa amna hata pesa njaa tu
Mpendwa ni poa teh
Poa kabisa eh? Issue vipi
Ha Ha ha hewani ni kipindi cha salamu
Napenda kutuma salamu kwa watumishi wenzangu tulioasi popote walipo
Utajibeba........piga pin PM zote dadeki......hakuna........
zinatuletea dili za pesa nyingiKwel pm muhimu sana!
nipo kwenye kampeni nikimaliza tu nakupmItabid tuongee kiutu uzma ni pm
Anaanza mambo wamjibu poa, anarudi tena ishu vipi wamjibu tena fresh, hachoki mishe zinaendaje agrrrr qummmamae hv tupo jukwaa la salamu au
Ningekufundisha, ila utanianika tena, hapana.
Haya, tangulia nikukuteSasa nikuanikeje wakati umenifundisha? Hebu nifundishe bwana nitakulipa.
Si darasani. Haya mambo ni confidential Atoto. Cha kufanya we anza kunirubuni mimi kama mazoezi. Halafu ukishafuzu, ndio umwendee Kaboom.😱 unikute wapi tena jamani?

So ndio sasa. We nitumie hiyo PM, ukikosea nitakuambia. Kama driving vileNifundishe kwanza pm inatumwaje, kuhusu kutongoza niko vizuri yaani Kaboom ajiandae tu
Unataka kunitumia Pm? U know where to find me:A S-cry: