Wanawake na dhana ya "we can just be friends

Wanawake na dhana ya "we can just be friends

We na wewe ndo mkosaji hapo.
Uwe unajaribu kumcategorize msichana kwanza kabla ya kuchagua proposal stratergy.
Kama huwezi kumchambua tumia bottom up badala ya top down.
Top down ni kumuoverate hadi tabia zikuoneshe ye ni cheap kiasi gani.
Bottom up (best stratergy). Unaasume ni cheap hadi atakapoprove otherwise ( inafanya kazi sana kwa sababu unaweza ijaribu kwa unayeona yuko juu ukashangaa how cheap she is).
Huyo msichana alivyokuambia we can just be friends ni kwamba bado hana info ya kutosha kusababisha wewe umreplace aliye naye. If u did your job well ungepata vingi up to even replacement. Ila wewe unakomaa na formal application.

Siku izi formal haifanyi kazi coz hana enough info ya kutosha kufanya decision ya kukukubali sasa. Ndo maana u have to pass through the adversity of friendship, through with benefits to
the relationship.

Damn.. You killed it niggah
 
Wanaume yani kama hamjui hii kitu inaboa sana na kuwapunguzia credit "kuomba jibu kama umekubaliwa" inaboa sana mtu anaekupenda, anaekukubali, ambae yupo tayari kuwa nawe, yupo tayari kukupa tu hata kama ana mtu...utamjua tu kwenye maongezi acheni kuwa mnaomba majibu hilo tongozo la kizee bana
 
Labda anataka kuwa friends with benifits
no kiss in public
no hugs in public
no jealous in public
no questions in public

sex only....!!

Hahahahaa nimemkumbuka mtu fulani hivi!
 
Na mtumie "uanaume".... We mwanamke ana kujibu ana mtu unapanic, sa unapanic nini ana mtu kwani we mdudu? Hadi tuwape mbinu za kututongoza? Mfyuuu kama hamuwezi mtulie tuwatongoze sasa sio kuleteana mambo ya kiboya boya

'Nikilala ucku picha yako inanijia, nikukumka sauti yako mapigo ya mbio yanaenda moyo'. Mapenzi bwana!
 
Na mtumie "uanaume".... We mwanamke ana kujibu ana mtu unapanic, sa unapanic nini ana mtu kwani we mdudu? Hadi tuwape mbinu za kututongoza? Mfyuuu kama hamuwezi mtulie tuwatongoze sasa sio kuleteana mambo ya kiboya boya

Nimetulia... Nitongoze basi
 
In this case HIV/AIDS statistics will continue growing in Tzania and Africa in general.

Mtazamo tu.
 
Na mtumie "uanaume".... We mwanamke ana kujibu ana mtu unapanic, sa unapanic nini ana mtu kwani we mdudu? Hadi tuwape mbinu za kututongoza? Mfyuuu kama hamuwezi mtulie tuwatongoze sasa sio kuleteana mambo ya kiboya boya

Punguza jazba kwanza

Una point ila tone ya jazba kali

Kunywa maji kwanza hapo halafu anza upya kupanga point
 
Utasikia umefikia muafaka gani? Agriishii!! Duh,,.
Wanaume yani kama hamjui hii kitu inaboa sana na kuwapunguzia credit "kuomba jibu kama umekubaliwa" inaboa sana mtu anaekupenda, anaekukubali, ambae yupo tayari kuwa nawe, yupo tayari kukupa tu hata kama ana mtu...utamjua tu kwenye maongezi acheni kuwa mnaomba majibu hilo tongozo la kizee bana
 
We can be friends inawezekana sana tu.....

Ila sema hiyo dhana haipo kwa huyo msichana ulokuwa nae.....

Na inaonyesha shida yake ni pesa zako inawezekana ulitumia wakati wa tongozo ndio maana na yeye hataki kuzikosa.....

Akina kaka mnapotongoza usijiweke kinadikini lakininusitumie oesa kama silaha....utawekwa friend zone au ufanywe zombie
 
Sema kwakuwa tayari ana mtu wake ila hiyo kauli walaaaa isikuogopeshe, akikuambia hivyo ujue anataka mtake things slowly maana inaonekana ulikuwa na haraka sana.

She needed time mfahamiane vizuri ili msije kurupuka kuanzisha mahusiano alafu after 2weeks muanze migogoro isiyo na msingi, so just relax you can just be friends for now.
Maybe aliyenae mambo hayako poa thats why anataka kukupa nafasi, jitose tu mbona wenzako akina sumbai kwao poa tu.
 
Last edited by a moderator:
We na wewe ndo mkosaji hapo.
Uwe unajaribu kumcategorize msichana kwanza kabla ya kuchagua proposal stratergy.
Kama huwezi kumchambua tumia bottom up badala ya top down.
Top down ni kumuoverate hadi tabia zikuoneshe ye ni cheap kiasi gani.
Bottom up (best stratergy). Unaasume ni cheap hadi atakapoprove otherwise ( inafanya kazi sana kwa sababu unaweza ijaribu kwa unayeona yuko juu ukashangaa how cheap she is).
Huyo msichana alivyokuambia we can just be friends ni kwamba bado hana info ya kutosha kusababisha wewe umreplace aliye naye. If u did your job well ungepata vingi up to even replacement. Ila wewe unakomaa na formal application.

Siku izi formal haifanyi kazi coz hana enough info ya kutosha kufanya decision ya kukukubali sasa. Ndo maana u have to pass through the adversity of friendship, through with benefits to
the relationship.

Duh, mkuu wewe una profession hii, umesomea wapi, maana naona unazo strategy ambazo ni applicable..
 
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana

Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara mbili tatu nne hivi katika wiki chache zilizopita, katika outing hizo nikamuomba awe wangu, kwamba Nina nia njema nae, akasema nisubiri, niwe mvumilivu atanijibu, katika kuongeza ushawishi nikaanza kumuita hny, baby na kadhalika maana dalili zote zilionesha kwamba kuna jibu la ndio linakuja, maana tukiwa beach tulishikana mikono na kukaa kama wapenzi except kissing ndio hatukufanya

Ikafika pahala nikalazimika kuwa serious kidogo kuhusu majibu yangu, nikasema nahitaji kujua nimekubaliwa au la hatuwezi kuendelea namna hii, akajibu kuwa ana mtu wake ila kama vipi we can just be friends, nikamwambia sawa ila na Mimi Nina sharti moja katika hiyo being normal friends, nikamwambia katika hiyo friendship hakuna kuombana pesa, ikifika wakati una shida utamuomba mtu wako

Nikamuona kawa mdogo akasema ina maana wewe huwezi kusaidia mtu? Nikamwambia kusaidiana inakua upande mmoja tu? Kwangu kwenda kwako?
Kwa kuwa ww una mtu wako na mm itabidi nitafute Wa kwangu ndie huyo nitakua namsaidia kama sijampata nitawapa hata wadogo zangu Wa kike wao pia wanahitaji pesa, tangu siku hiyo akakata mawasiliano hadi alipoibuka tena Jana na proposal Mpya kwamba kama vipi tunaweza kuendelea na uhusiano ila kichwani nijue ana mtu wake
Ilibidi nimuulize kama ana akili timamu au la?
Yaani mm niwe spare tyre?

Nimegundua hakuna kitu kama "" we can just be friends"" kauli hiyo inatumiwa na akina Dada kama pango la wanyanganyi la kupigia mizinga na ndugu zangu msikubali mtego huo, kama ana mtu wake atembee mbele, nilikwambia mm nahitaji marafiki wapya? Nilio nao wote hao hawatoshi? Urafiki Wa kawaida halaf kila siku unakuja na shida!!!

Sasa nimeshtukia huo mtego ndio unakuja kudai tunaweza kuwa wapenzi kwa siri ila mtu wako asijue, Mimi? Yaani mm mwanaume mzima makamo Haya niwe mpenzi wako Wa pembeni?

Nonsense

Tehee,sio wote wapenda pesa wengine tu masikin jeur!
 
Sema kwakuwa tayari ana mtu wake ila hiyo kauli walaaaa isikuogopeshe, akikuambia hivyo ujue anataka mtake things slowly maana inaonekana ulikuwa na haraka sana.

She needed time mfahamiane vizuri ili msije kurupuka kuanzisha mahusiano alafu after 2weeks muanze migogoro isiyo na msingi, so just relax you can just be friends for now.
Maybe aliyenae mambo hayako poa thats why anataka kukupa nafasi, jitose tu mbona wenzako akina sumbai kwao poa tu.

Nimekusikia shemdarling atoto
 
Last edited by a moderator:
We achana na mawazo ya kupatiwa jibu, neno "nipe jibu" kama umekubal inaboa, yaan actions zote mfanyazo / afanyazo adi kwenda beach huyo dada km angekuw na boy c zan kama angekubal maana angekuwa na waswas wa kuonwa na watu, chamsing kama atataka mahusiano pesa usitoe mtembeze mpaka akuingie moyoni. Alaf penda upate mawaclian ya ndg zake utajua ukwel.
 
Kama shida yako ni kimbwisa we piga tu,ila kama kuoa achana nae.tafuta mtu mwingine.
Duuuh nimekumbuka wote ndo tabia zao hizo bora upige nyeto tuuuu.
 
unatongoza halafu kweli unakaa unasubiri jibu la "NIMEKUBALI"?

you cant be serious nigger
 
Back
Top Bottom