Very sad to hear this. Are you working with the devil?
The times when you want to grant satisfaction to self desires like adultery thieving lying etc
Binadamu ni kiumbe hai wa namna ya pekee kabisa anayeweza kusema kwa nguvu zote kuwa hii ni nyeupe lakini moyoni mwake akiwa haamini hivyo au akiwa na ukweli tofauti
Wote tunamjua sana shetani dubwana linalotisha na hata tunapomchora mawazoni na hata kwenye makaratasi ni kitu cha kuogofya kutisha na kuogopwa....lakini huu ni unafiki mkubwa wa kiumbe mwanadamu kwakuwa shetani ni nzuri shetani anavutia shetani anaheshimiwa shetani ni maarufu shetani anasujudiwa mno
Na kwakuwa shetani anayatambua yote haya ndio maana hana pressure na wewe anakuacha ufanye unafiki wako anajua kwa hakika kwake utarejea
Likitokea jambo tusilolipenda kabisa toka rohoni mwetu huwa na kwa maslahi yetu ambayo saa nyingine ni ya kujikweza humbomoa shetani hasa na kupambana naye kwa nguvu zote! Tukimseta kumlaani kwa kadiri ya pumzi zetu... Yeye hukaa kimya na kutabasamu
Lakini Likitokea jambo ambalo tunalipenda lakini ni Naya hasa la kutosheleza tamaa na matamanio ya kimwili shetani huwa rafiki mwema na tuko tayari kufanya naye colabo bila kujua kuwa ni maagano....Hapa hupambani tena na shetani bali mnacompromise.. Kichefuchefu cha undumilakuwili wa mwanadamu
Unaingia nyumba ya ibada kwa imani yako ukiwa na matatizo lukuki Hapa unaenda kuomba msaada wa Mola wako ukifanikiwa unaenda kufanya uchafu huku ukiomba mambo yasije kuharibika... Mungu anakutizamana tu huku shetani akitabasamu kwa pozi
Mwanadamu ni kiumbe dhaifu asiye na msimamo thabiti atumikiaye nguvu mbili kwa mara moja na wakati wote... Kwa shetani kidogo kwa Mungu kidogo na hayo ndio maisha yetu mpaka tunakufa na unafiki wote huku tukimpa shetani ushindi mkubwa
"Kwa shatani kidogo kwa Mungu kidogo na hayo ndiyo maisha yetu' Hapo Mshana Jr siyo kweli! Usiseme hayo ndiyo maisha yetu, sema hayo ndiyo maisha yako! Shetani amekudanganya na umedanganyika na kujipa moyo kuwa watu wrote wanafanya machafu ya shetani!
Japo wapo watu kama wewe wenye urafiki na matendo machafu ya kishetani, lakini wapo watu wengine wengi tu nikiwamo Mimi ambao tulifika mahali tukasema hapana kwa shetani na ndiyo kwa Mungu. Hii inatokea ukiamua kumwamini Yesu na kutubu dhambi zako. Ukifanya hivyo Mungu anakusamehe dhambi zako halafu anakuzaa Mara ya pili na unakuwa kiumbe kipya! Ukifanya hivyo unakuwa umeokoka!
Anachokisema mshana kinamhusu ambaye hajaokoka lakini akadai anamchukia shetani, hilo haliwezekani! Nje ya wokovu MTU hana uwezo wa kumpinga wala kumchukia shetani kwa dhati maana anakuwa bado ni mtumwa shetani.
Ushauri wangu kwa Mshana na wengine wote wenye mawazo kama yake ni kuwa:
1. Kama wanahitaji kwa dhati kuondokana na hali ya unafiki wa MTU kupenda mambo machafu ya kishetani huku akijifanya hampendi shetani ni kwamba wamwamini Yesu na kumkaribisha katika mioyo yao kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. Hiyo inafanyika kwa kutubu dhambi zao na kuomba sala ya toba.
2. Sala ya toba wanayopaswa kuomba ni hii: "Bwana Yesu naja kwako, Mimi ni mwenye dhambi, ninaomba unisamehe dhambi zangu zote, ninazozikumbuka na ambazo sizikumbuki. Karibu Yesu katika moyo wangu uwe Bwana na Mwokozi wangu. Asante Yesu kwa kunisamehe na kuniokoa. Ninakushukuru Mungu katika jina la Yesu-Amina!
3. Kama umeomba sala hiyo hapo juu kwa moyo wa dhati umeokoka! Kw sasa una uwezo wa kumpinga shetani na akakimbia! Kwa sasa unaweza kuziambia tamaa za mwili kuwa wewe ni mtakatifu na zikakaa kimya! Sauti yako sasa INA mamlaka! Unauwezo WS kuiambia dhambi hapana na ikatii! Nami nakuombea sala ifuatayo: "Bwana Yesu katika jina lako takatifu naomba umpokee ndugu huyu ambaye ametubu kwa dhati mbele yako. Mwoshe kwa damu yako ya thamani. Umlinde na yule mwovu na umpe ushindi juu ya dhambi. MPE furaha na amani katika moyo wake, na umlinde na umponye dhidi ya magonjwa ypte. Nsomba Haya katika jina la Yesu -Amina.
4. Tafuta watu wsliookoka wanaoamini katika utakatifu na ushindi juu ya dhambi watakusaidia zaidi.

Aaamen uko njia sahihi kabisa lakini bado umerudia njia ileile ya kuhukumu na kuniita mnafiki
Unachoongea ni mahubiri ya kawaida kwenye nyumba za ibada ninachoongea ni ukweli wa moyo Katika uhalisia wake maishani
Binadamu ni mzuri sana kwenye kuongea
Nahisi hujaelewea hoja ya mshana umejibu as ifu kuna hoja ya kutetea isiyoelewa
Mshana amejaribu kuonyesha ni vipi kiumbe bindamu anavoendeshwa na mambo ya nje zaidi (hata kama ni mazuri kwa mtazamo wako)
Je unayafata kwa vitendo yale tunayofundishwa na viongoz wetu ambao pia ni binadamu kama sisi
Watu wote tupo ktk vuguvugu hatufany aliyotuagza MWENYEZI kibaya zaidi tulichokosea wanadamu ni kudiriki hadi kufanya anayotaka shetani
Mfano tungeweza kutofanya mema ingetusaidia lakini sisi hatufany mema pia tunafanya mabaya
Sikuhukumu la hasha! Siwezi kuthubutu kukuhukumu! Ninasema ukweli kuwa nje ya wokovu wa Yesu kristo, unafiki wa kujifanya unamchukia shetani wakati matendo yanaonyesha tofauti hata kama ni kwa siri hauepukiki!
Hatutegemei nguruwe akatae kugagaa kwenye matope kama nafasi hiyo akiipata! Ukitaka nguruwe aachane na matope hata kama yapo na yamemzunguka itabidi ubadili asili yake asiwe nguruwe tena! MTU mwenye akili timamu hawezi kumlaumu nguruwe kwa kugagaa kwenye matope! Wala hawezi kutarajia kuwa kuna siku nguruwe atakuwa mstaarabu kiasi cha kuachana na matope!
Ndivyo alivyo mtu ambaye hajamwamini Yesu na kuokoka, hana ujanja wala nguvu za kushinds dhambi! Sizungumzi habari ya Dini Fulani, lakini nazungumzia uamuzi wa mtu binafsi kuamua kumwamini Yesu ili azaliwe Mara ya pili na kuwa kiumbe kipya! Biblia inasema kuwa mtu akiwa ndani ya Kristo (Yesu) anakuwa kiumbe kipya, ya kale yamepita tazama yote ni mapya!
Ndiyo maana msingi wa hukumu ya Mungu si matendo mabaya waliyotenda watu yaani dhambi, Bali watu watahukumiwa kwa kukataa kumwamini Yesu, maana kama wangemwani wangeishinda dhambi na matendo yake machafu.
Aaamen uko njia sahihi kabisa lakini bado umerudia njia ileile ya kuhukumu na kuniita mnafiki
Unachoongea ni mahubiri ya kawaida kwenye nyumba za ibada ninachoongea ni ukweli wa moyo Katika uhalisia wake maishani
Bado kimahubiri uko sahihi kabisa ila nataka utoke nje ya box na kufikiri tofauti kwamba unamhubiria mtu naye kwa unyenyekevu mkubwa kabisa anakusikiliza na kukuelewa hasa lakini akitoka hapo anarudi kwa shetani na kuendelea na mambo ya kidunia Kama kawaida lakini ikifika muda wa ibada ataenda tena Kama kawaida
Ndio maana nikasema kwa Mungu kidogo kwa shetani kidogo na huo ndio uhalisia wetu
"Kwa shatani kidogo kwa Mungu kidogo na hayo ndiyo maisha yetu' Hapo Mshana Jr siyo kweli! Usiseme hayo ndiyo maisha yetu, sema hayo ndiyo maisha yako! Shetani amekudanganya na umedanganyika na kujipa moyo kuwa watu wrote wanafanya machafu ya shetani!
Japo wapo watu kama wewe wenye urafiki na matendo machafu ya kishetani, lakini wapo watu wengine wengi tu nikiwamo Mimi ambao tulifika mahali tukasema hapana kwa shetani na ndiyo kwa Mungu. Hii inatokea ukiamua kumwamini Yesu na kutubu dhambi zako. Ukifanya hivyo Mungu anakusamehe dhambi zako halafu anakuzaa Mara ya pili na unakuwa kiumbe kipya! Ukifanya hivyo unakuwa umeokoka!
Anachokisema mshana kinamhusu ambaye hajaokoka lakini akadai anamchukia shetani, hilo haliwezekani! Nje ya wokovu MTU hana uwezo wa kumpinga wala kumchukia shetani kwa dhati maana anakuwa bado ni mtumwa shetani.
Ushauri wangu kwa Mshana na wengine wote wenye mawazo kama yake ni kuwa:
1. Kama wanahitaji kwa dhati kuondokana na hali ya unafiki wa MTU kupenda mambo machafu ya kishetani huku akijifanya hampendi shetani ni kwamba wamwamini Yesu na kumkaribisha katika mioyo yao kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. Hiyo inafanyika kwa kutubu dhambi zao na kuomba sala ya toba.
2. Sala ya toba wanayopaswa kuomba ni hii: "Bwana Yesu naja kwako, Mimi ni mwenye dhambi, ninaomba unisamehe dhambi zangu zote, ninazozikumbuka na ambazo sizikumbuki. Karibu Yesu katika moyo wangu uwe Bwana na Mwokozi wangu. Asante Yesu kwa kunisamehe na kuniokoa. Ninakushukuru Mungu katika jina la Yesu-Amina!
3. Kama umeomba sala hiyo hapo juu kwa moyo wa dhati umeokoka! Kw sasa una uwezo wa kumpinga shetani na akakimbia! Kwa sasa unaweza kuziambia tamaa za mwili kuwa wewe ni mtakatifu na zikakaa kimya! Sauti yako sasa INA mamlaka! Unauwezo WS kuiambia dhambi hapana na ikatii! Nami nakuombea sala ifuatayo: "Bwana Yesu katika jina lako takatifu naomba umpokee ndugu huyu ambaye ametubu kwa dhati mbele yako. Mwoshe kwa damu yako ya thamani. Umlinde na yule mwovu na umpe ushindi juu ya dhambi. MPE furaha na amani katika moyo wake, na umlinde na umponye dhidi ya magonjwa ypte. Nsomba Haya katika jina la Yesu -Amina.
4. Tafuta watu wsliookoka wanaoamini katika utakatifu na ushindi juu ya dhambi watakusaidia zaidi.
Mkuu umeandika vizuri lkn kwa taarifa yako Biblia yenyewe ina Admit kuwa Shetani ana Nguvu zaidi kuliko sisi Wanadamu maana Mungu alipomfukuza kule Mbinguni hakumnyang'anya ule uwezo hivyo kwa mbinu zake binadamu huwezi kumshinda,Biblia inathibitisha kuwa Shetani ana nguvu rejea Lk 22:31,32;Mt 26:41.
Mkuu anayekwenda kinyume si anayehubiriwa tu!!,bali hata yule mtu anayehubiri naye anaweza kwenda kinyume na kile anachokihubiri mfano Usizini halafu Siku hiyohiyo mnasikia Mchungaji amefumaniwa na Mke wa mtu wakati yeye mwenyewe alikuwa alihubiria watu kuwa wasizini.
The times when you want to grant satisfaction to self desires like adultery thieving lying etc
Pouwa ngoja nikaitafute
Pouwa ngoja nikaitafute