Kwa hio wewe unaona chadema wenye dola? Hivi utawala wa kikwete na wa idd amini una tofauti?
akili yako kumbe ndogo nimekudhalau, unashindwa hata kujua wakati aliotawala idd amini na wakati tuliopo sasa.
by the way unasema mgombea wa chadema anachaguliwa na mtu mmoja, je ni nani huyo...
Tunataka vyama vya siasa viwili tu ccm na chadema ktk nchi yetu. Ccm ameshindwa kazi hivo 2015 tunampa chadema. Akishindwa tunampa ccm tena, akishindwa tunawapa chadema tena. Hakika baada ya miaka 20 tanzania itakuwa inakuwa developed country.
Inamana viongozi woote wa ccm hasa wasomi tulionao akina sitta, mwakiembe, membe, lowasa, nundu, januari makamba, mwigulu nchanga hawamshauri mheshimiwa rais kuhusu hili suala la udini?
hivi huyu jamaa anawajua watanzania au anawasikia? Mwananchi wa kawaida ni yupi? Na asiwe wa kawaida ni yupi? Unaleta stori zile zile za karne ya 20 ambayo CCM waliitumia kututawala kwa kuamini kila wanaemteua kugombea ubunge lazima apite.
Naomba nikuhahakikishie yafuatayo kabla hujatokwa na...
Binadamu tunatofautiana akili ila naona zako zitakuwa na mapungufu mengine. Hata kama unalipwa kwa kazi hii ya kujibu na kushambulia bila logic reasoning unapoteza uhalisia wa kuitwa human being. Naomba unitajie matukio au vifo vilivosababishwa na chadema kwa ugaidi wao, vile vile taja...
Hivi huyu jamaa huko UK hakuna upinzani? USA hakuna upinzani? Nchi itaendeleaje bila upinzani?
Hivi mtu unaishi nje ya nchi tena UK unashindwa kujua maana ya opposition party? Kama ulijiunga chadema kwa kupotea waache na wengine wapotee kwani unawasadia nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.