wewe sidhani kama kichwani mwako kuna kitu. Unakurupuka tu kama mwehu daily!Kweli jk ni kipenzi cha watu unaona jinsi gani watu wengi wanavyosubiri hotuba yake.
wewe sidhani kama kichwani mwako kuna kitu. Unakurupuka tu kama mwehu daily!Kweli jk ni kipenzi cha watu unaona jinsi gani watu wengi wanavyosubiri hotuba yake.
Nenda mkamuage dada mliyemuuwa anaagwa sasa hivi kkkt wazo mamtu mnaroho mbaya kama nini kazi kuuwa wenzenu tu ngoja muwamalize sijui mtamuongoza nani.
Mimi nadhani kuna makundi hapa, la kwanza limemgeuza j.k kama mwigizaji, ndio maana wanaulizia kwa hamu sana hayo maigizo yake, kundi lingine la mambumbu wasiojua ulimwengu uko wapi lakini nao wanahaki ya kusubiria. Kundi lingine ni la watu makini sana na hawahitaji hata hayo maigizo yake.
kuna uzi ulipita hapa jana kueleza kuwa jk leo atalihutubia taifa kwa mwenye kujua kinachoendelea atujuze
Wewe bavicha umevurugwa sana si bure.
sasa mkuu mbona tume ikiizungumzia katiba mpya akina simiyu povu linawatoka.leo tunataka dhaifu aseme wanatoa povu.Kwa hiyo yeye kama rais wa nchi na mwenyekiti wa chama kilichopo madarakani hawezi kuwaambia wananchi msimamo wake na kujibu kero zilizojitokeza?
Kama ni hivyo, kuna haja gani ya kuwa na raisi anayefuta upepo?
jk hawezi kuongelea swala la rasimu siyo jukumu lake bali ni la tume swala la mswada ni swala la bungeni nalo siyo lake yeye amesaini mswada tangu jana nyie mnapiga porojo.
Kama Mwenyekiti wako anavyovurugwa muda huu mpaka anatucheleweshea hotuba....!
hivi unafikiri JK kuongea kwake ni tabu? subiri tu uone atakavyoporomoka na hoja za msingi
Nenda mkamuage dada mliyemuuwa anaagwa sasa hivi kkkt wazo mamtu mnaroho mbaya kama nini kazi kuuwa wenzenu tu ngoja muwamalize sijui mtamuongoza nani.
Kuna tetesi kuwa aliugua ghafla ule ugonjwa wake wakati anajiandaa kuhutubia. Source: mfanyakazi wa ikulu kitengo cha mawasiliano. Nasikia kunaweza kuwa na taarifa mbaya! Tujiandae kisaiklojia.
Bawacha sounds.
nakumbukia hotuba za enzi ya mzee mkapa yaani hadi unakuwa na hamu ya kumsikiliza
Naona mmekuja na misemo mipya, hata mwezio niliona anaandika hivi hivi.