Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Kila la kheri kwakuwa kimeshaimarika kanisani sasa ni wakati wa kuwahadaa waislamu. Nyakageni kazi yako imeonekana na sasa Mbowe anaokuongezea nguvu ili chama kiinaendelea.
Mkuu huwezi kuziba huo mshipa unaopitisha mawazo machafu ya udini kichwani kwako hata kwa dakika moja na ukajadili mambo kwa uzalendo na upendo wa Nchi yako?
 
Last edited by a moderator:
taifa hili linaanza kugawanywa kwa udini kupitia baadhi ya watu humu jamvini jf

JF inatumika ndivyo sivyo

cc: Paw Invisible snail

Usiwafundishe mods chakufanya wewe. Sijaandika jipya hapo nimeandika alichoandika kampeni meneja wa ben saanane kama alivyowasilisha hapa jukwaani. Ukitaka kuwa mwema uwakemee makamanda wako Cc kahtaan Ritz
 
Last edited by a moderator:
safi sana , mimi nasubiri cdm ife kama alivyotuahidi masatu wasira .
 
Naona uko zamu leo.Lakini nakushauri si lazima ubadili ID kama unavyofanya.

Mkuu id ninayo moja tu mimi sio kama wewe unashinda na id nyingine ukileta nyuzi za kujipendekeza unafungua id yako ya Molemo.
 
Last edited by a moderator:
hii movie lazima ccm waig!
kama mavazi mameiga hii lazima!!
 
Mkuu id ninayo moja tu mimi sio kama wewe unashinda na id nyingine ukileta nyuzi za kujipendekeza unafungua id yako ya Molemo.

Leo malipo ni buku saba au utapata nyongeza?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu id ninayo moja tu mimi sio kama wewe unashinda na id nyingine ukileta nyuzi za kujipendekeza unafungua id yako ya Molemo.

umepatwa kifafa leo?mbona unahara kama bata....
the change being with you braza
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi ina matatizo lukuki ila kuna wenye maisha ya juu hawaoni majority wanavyotaabika kwa kukosa hata pesa za kusomesha watoto na matibabu.

Hongera Mbowe kwa kusimama imara kwenye uwanja wa mapambano ya kifikra. MUNGU atakulipa.
 
taifa hili linaanza kugawanywa kwa udini kupitia baadhi ya watu humu jamvini jf

JF inatumika ndivyo sivyo

cc: Paw Invisible snail
Kamanda, pambana kwa hoja Mods hawawezi kukupa msaada wowote, kuweni makini vijana wenu ndiyo wanaichafua Chadema, anachosema CHAMVIGA. ni ukweli mtupu, wewe unawaita mods inapoguswa Chadema tu.
 
Last edited by a moderator:
kwanini vijana wengi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii wanaandika comments za kijinga na hata wakianzisha mada hazina mantiki yeyote kwa taifa?
 
Kamanda, pambana kwa hoja Mods hawawezi kukumpa msaada wowe, kuweni makini vijana wenu ndiyo wanaichafua Chadema, anachosema CHAMVIGA. ni ukweli mtupu, wewe unawaita mods inapoguswa Chadema tu.

Mkuu Ritz mimi nimewaambia yale makamanda ambao tena ni makampeni meneja wanayotuambia wenyewe humu ndani sasa kazi kunilaumu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huwezi kuziba huo mshipa unaopitisha mawazo machafu ya udini kichwani kwako hata kwa dakika moja na ukajadili mambo kwa uzalendo na upendo wa Nchi yako?

Mapenzi na nchi yangu ni makubwa sana lakini watu kama GODBLESS, na makamanda wenu huwa wanaleta mipasho ya kugawanya watanzania na ndio wameshafanikiwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hizi busara zako mbona zinaonekana hapa tu ikiguswa chadema? Sijayasema mimi ni makamanda wenu hao.

mkuu nachukia sana siasa za ubaguz wa kidin,kanda,makabila.
Mkuu haya mambo hayata tusaidia kabisa kama taifa.

Angalia watu wanavyouana nchi za wenzetu kwa sababu ya ubaguz.
Hiz siasa hazitusaidii kabisa tunatafuta kuuana tu kwa mambo ya kipuuz.
Acha tucheze na siasa kama siasa na tusiichanganye na din,kabila wala kanda.
Tuangalie Tanzania kwanza!
 
Usiwafundishe mods chakufanya wewe. Sijaandika jipya hapo nimeandika alichoandika kampeni meneja wa ben saanane kama alivyowasilisha hapa jukwaani. Ukitaka kuwa mwema uwakemee makamanda wako Cc kahtaan Ritz

CHAMVIGA Today, 13:05
This message has been deleted by JF Moderator 1.

well done
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom