CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

Hahahahahahahahahaahha hii kali.

Hawa vijana wa bavicha ni SIFURI kabisa...
Mkuu hayo mambo ndfio alioyokuwa ananiambia lema,
TAFUTA PICHA NZURI YA AMBULANCE NA CHOPA RUSHA HEWANI UTAONA WATAKAVYOKUGONGEA LIKE!
 
kama ni ikulu ya kaburini sawa, bila hawa kuondolewa tegemea hakuna chadema ni bora hata mnyika awekiongozi mkuu wa chama kuliko mbowe.
Utabwabwaja sana na CDM utaiacha ilivyo. Maana hao unaowataja ndiyo walio ndani ya mioyo ya wanachadema na watanzania wote kwa ujumla wanaolitakia taifa hili mabadiliko ya kweli. Ni kweli kwamba uliowataja wote ni wale wanaowanyima usingizi akina wasira na mwigulu. Huo ndiyo ukweli na utabaki kuwa hivyo siku zote.
 
Well said Bro,
Chama cha kitemi.
Chadema ni janga la taifa, wamewa brainwash vijana wengi sana matokeo yake wanatembea kama misukule, jana niliongea na Dr mmoja nikacheka sana, ananiambia eti wananci watamchagua kuwa mbunge kwa sababu atatumia power point presentation kwenye kampeni zake, nikajiuliza hivi wananchi wanataka picha au sera?

umeshatafuta dawa ya yale magonjwa yako yaliyo orodheshwa na dokta A. Paurine?
 
Kwa swali lako hili nimeshajua kuwa huna uhusiano na familia ya Mtei anayemiliki chadema.

Familia ya Mtei yote inajua nani ni "men form nowhere"...

kumbe nawe unaendeshwa na hisia? Huo ndo umasikini wa fikra nliokuwa nausema.
 
Chilisosi unahitaji tiba ya magonjwa yafuatayo ndipo uje JF uendelee kujadiliana nami.

1. OCD (Obsessive Compulsive Disorder)

2. DG (Delusions of Grandeur)

3. CLD (Compulsive Lying Disorder)

4. ASPD (Attention Seeking Personality Disorder)

5. ODD (Oppositional Defiant Disorder)

6. MPD (Multiple Personality Disorder)

7. LD (Literacy Disorders)
 
Last edited by a moderator:
Magamba yamekabwa koo kweli kweli ! nisawa na mgonjwa anae kiona kifo!
 
mtoa mada amelewa, kama kweli analitakia mema taifa hili angeanza na jk, lowasa, chenge, jangili kinana, chamatusi nchemba, nk
 
Huenda hoja yako inaukweli, lakini tuangalie CCM kwanza, Viongozi gani wakiondolewa, chama kitarudi katika misingi yake ya kumtetea mlala hio?
Tunasema kama n kweli "CDM" n mpinzani wa kweli, ana sapoti kubwa ya wananchi. Lakini baadhi ya waasisi wake wamevimba vichwa. Bila wao mambo hayaendi??
Wapo vijana mnyika, prof safari, zitto, dr mkumbo wana mtazamo mzuri zaidi kukipeleka chama mbele. Aluta continua
 
mtoa mada amelewa, kama kweli analitakia mema taifa hili angeanza na jk, lowasa, chenge, jangili kinana, chamatusi nchemba, nk

mtoa hoja ametoa kitu ambacho kinahitaji tafakuri pana but ukiweka ushabiki mbele hutamwelewa.
 
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.

Hua siku zote siamini kuwa palipo watu watatu, wanne au watano ngazi ya juu pakiwepo changamoto dhidi yao wanaharibu chama kwa pamoja. Kuwaona kwako Slaa, Mbowe, Lissu, na Lwakatare kuwa waondolewe CHADEMA kwa makosa uliyonadi umekosea. Do Correction please! Otherwise your brain isn'nt quiet right and you are not CHADEMAN!
 
Back
Top Bottom