Mkuu msalimie Chris Lukosi
Hongera chadema...
Hongereni sana Chadema
imetoka rohoni hii kweli?
Hongera chadema...
BAADA ya hila na mbinu haramu kadhaa kuzuia uchaguzi huru na haki, kuminya demokrasia ya sanduku la kura kuchukua mkondo wake, ikiwemo Mtendaji wa Kijiji cha Kwekitui kuharibu uchaguzi kwa kukimbia na sanduku la kura wiki iliyopita, CHADEMA imeibuka mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji cha kijiji hicho, kilichoko Jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, Mkoa wa Tanga, kwa kura 196 dhidi ya CCM waliopata kura kura 189.
Uchaguzi huo wa marudio ulifanyika leo, Jumapili, Aprili 7, 2013.
Ndio tatizo lenu. Mkipongezwa kosa, msipopongezwa kosa. Lami ikijengwa kosa, isipojengwa kosa. Mshahara ukiongezwa kosa, usipoongezwa kosa. Washutumiwa wakikamatwa kosa wasipokamatwa kosa. Rais akiongea kosa, asipoongea kosa.
Ili mradi tu mlalamike...
Lakini watu kama nyinyi kwenye jamii hamkosekani, TUMESHAWAZOEA...
Wame hack
Hongera chadema...
CHADEMA wanafanya makosa kuingilia ngome ya CUF
Hongera chadema...
Huko si ndo kwa mh. J.makamba naibu waziri wa sayansi na tekinolojia?